NDUKI
JF-Expert Member
- Jan 19, 2013
- 3,423
- 2,414
'salaam salaam wakuu..................natumai mu-wazima kabisa,nna tatizo limejitokeza kwenye PC yangu nikiiwasha tu inaonesha "BLACK SCREEN" then after few seconds ina-display msg inayosema "Auto Adjust In Progress" then inakata inakuja "BLACK SCREEN" nikajaribu kubadili monitor kwenye machine nyingine lakini hivyo hivyo tu ila sijachukua monitor nyingine kuweka kwenye machine yangu lakini kama ingekuwa tatizo ni machine nilivyoweka monitor kwenye machine nyingine ingewaka lakini monitor haikuwaka kwenye machine nyingine sasa sjajua tatizo ni hiyo monitor au laa wakuu yani hai-display chochote wala,msaada wakuu'