msaada wakubwa katika hili | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

msaada wakubwa katika hili

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by dodoso33, Oct 16, 2012.

 1. dodoso33

  dodoso33 Member

  #1
  Oct 16, 2012
  Joined: Oct 9, 2012
  Messages: 38
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mbona na jaribu kuappeal lakini nashindwa inaniandika nimeshakuwa already registerd mwenye uwelewa katika hili msaada jamani anipe procedure za kulipia mpaka kumaliza wapi pakuanza na wapi pakumalizia
  natanguliza shukrani zangu wakubwa
   
 2. Prof Gamba

  Prof Gamba JF-Expert Member

  #2
  Oct 16, 2012
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 390
  Likes Received: 114
  Trophy Points: 60
  Kwa maelezo yako mimi nimetoka mweupe kabisaa! Hasa hueleweki unataka msaada kwenye nini! Dadavua kidogo ueleweke.
   
 3. dodoso33

  dodoso33 Member

  #3
  Oct 16, 2012
  Joined: Oct 9, 2012
  Messages: 38
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nipe mchakato mzima wa kujaza form za kuappeal online
   
Loading...