Msaada wako please...!

OGOPASANA

JF-Expert Member
Apr 30, 2009
262
144
Habari Great Thinkers,
Eti kuna ugumu gani, urahisi gani, faida gani na hasara gani kama nikitaka kwenda nchi za Asia kama Uarabuni, China, Japan kwa ajili ya kununua bidhaa za electric and electronics kama vile Laptops, Desktops, simu, camera, projectors nk kwa ajili ya kuja kuuza hapa Bongo?
Nawasilisha.
 
Kuna nchi za Asia ambazo zina bidhaa za electronic original na za bei nzuri. Kwa mfano Saudia hawana kodi kwa bidhaa zote za electronic. Hivyo bei zao ni nzuri na bidhaa ni original hasa, hivyo ukiuza Tz faida ni ya kumwaga.
 
Back
Top Bottom