Nawasalimu tena kwa mara ya pili wakubwa shikamooni wadogo habari zenu.
Wakubwa naombeni msaada wenu wa mawazo,kuna mdada rafiki yangu na jirani yangu pia mumewe yuko nje ya nchi mie sikujua kumbe ana mwanaume anacheat nae,na ktk uhusiano wao mdada amepata mimba anataka aitoe ili kunusuru ndoa yake,alipomshirikisha jamaa anaecheat nae kuwa waitoe hy mimba jamaa kamjia juu sana na kumwambia hakuna kutoa na wala hajawahi kufanya hivyo! Ajabu sasa jamaa nae ana mke na watoto wanne!kwa sasa jamaa amesitisha mawasiliano yote ya simu na email hadi facebook kablock kisa hataki mimba itolewe,huyu mdada kachanganyikiwa alifanya siri lkn juzi kati hapa ilibidi anishirikishe kutaka ushauri,naombeni mawazo yenu juu ya huu utata wa hawa wenye ndoa.
Wangwana acheni kuruka ruka na kujifanya watakatifu sana na mahakimu, kila mmoja wetu anajua jinsi sahihi ya kuclear hii mess ni kuitoa hiyo mimba full stop.
Aende hospitali kubwa inatolewa kitaalamu na usalama ni asilimia 99.9,
rahisi mtarajiwa bongo ndugu yangu!!!! Hapo aangalie maslai yake bwana. Kesha pigwa kibuti na jamaa wa mtu huyo
rasi mtarajiwa atakula nini ndugu.
sasa moto ya mbongo humshauri kutoitoa mimba unafikiri nani atamtaka kati ya hao wawili huyo mwenye kibendi kaisha mtolea nje je akija huyo wa nje? Kama kufa ni siku yako imefika utakufa tuuu. Akatoe mimba.
Mawasiliano yamesitishwa anasubiri nn?
fasta
Chamecha mae!!:clap2::clap2:two wrongs never make one wright
Daaa kaka/dada angu mpendwa ni kweli mambo kama haya yanauma lakini hasira kupita kiasi sio nzuri sana, hata lugha kali kupita kiasi haiponyi pia, tupo duniani hatuijui kesho yetu, leo hilo limemkuta hatujui kesho sisi litatukuta lipi. Tusiwe na haki kupita kiasi. Yaweza mtokea mtu wa karibu sana na sisi au huyu ambaye hatumfahamu pia. Lakini imagine mtoto wako akikunyea mkononi utaukataka mkono?? Take her/them kama binti yako afu u RE-THINK!!!
hakuna haja ya kutoa cha muhimu ni kujuta hiyo dhambi na kuacha kabisa kucheat. azae mtoto kumwua mtoto ni dhambi kubwa (kiumbe ambacho hakina makosa na wala hakiwezi kujitetea) akitoa atakuwa amefanya kosa kubwa. Mume wake akiamua kumuacha ajue ndio malipo ya hilo kosa.
mkuu dhambi ni swala la imani ambayo yeye anaonyesha hana kwa kitendo chake cha kucheat.
Hapo ni kuichomoa tu kunusuru ndoa na aibu ya kudumu for the rest of her life
Nyie watu hamuogopi kufa??
Dena ukienda vichochoroni ni risk sana, aende hospitali watamchakachua fasta kitaalamu, usalama ni alimia 99.9
Si mchezo hizo hospitali kubwa ndo wanaruhusiwa kuua??
orok orok,,hebu tukutane pale kny nywele za sirini saa hii
Si mchezo hizo hospitali kubwa ndo wanaruhusiwa kuua??
Kama umenisoma vizuri nimetumia neno "kuchakachua"
Kuua ni imani yako inakutuma hivyo pale unatoa mimba