mhhh patamu hapo!!!sasa jamani hata kutumia kinga walishindwa?? halafu hilo jamaa ni mume wa mtu lina watoto tayari halafu linang'ang'ania mimba aliyompa mke wa mtu!? i knw it is immoral to abort na nisingependa mdada afikie uamuzi huo unless it is doctor's recomendation..! anyway sometimes doing the wrong thing might be the right decision...,kwanza amecheat mume wake pili amepata mimba so yeye ndio mwenye uamuzi sasa abaki na mimba na ndoa yake ife while ndoa ya jamaa ianaendelea kusustain,au atoe mimba amkasirishe jamaa cheater but aokoe ndoa yake..,hizi tamaa za miili zinapofikia mahala mtu unashindwa hata kujiprotect!!!