Msaada wako: Hili nalo ni jipu

Msaada wako: Hili nalo ni jipu

Hapo
hajaliwa, ila mshikaji alidhamiria
Ndipo kuna sintofahamu hapo mbona wife magutu mengiii?kwa kuwa hatujaona manyoya?kuku wengine hawana manyoya mengi au pale kisutu wanakonyonyolea kabisa.
 
Usiamini sana maneno yakusikia huenda ikawa sivyo kabisaaaaaaaaaaaa rudi kwa mkeo pata habari zenye uhakika,huyo ni mkeo na mpaka umeamua kumuoa inamaana unamkubali...

mkuu mbona niko nae sana tu, ila nimeona hili sio la kupuuzia kivile!
 
Unamwita rafiki na akadiriki kumtongoza mkeo hebu futa Hilo jina sawa unaumia kwake s unapajua mfate kwake omba muongee wawili akigoma mwaga ugali kwa mkewe na hapo najiuliza why mkeo akufiche fiche na yy anakumbatiaje maradhi?? Ngumu hii
 
Hebu ongea na mkeo vizuri. Sidhani kama utashindwa kummudu mkeo akwambie kilicho kati yake na jamaa
 
Ukimbana kwa kuonyesha hasira ataficha ukweli kwa kuwa huna evidence za kutosha kuujua ukweli wa kilichotendeka. Kwanza pata evidence za kutosha ndo uanze kumhoji. Wanawasiliana kwa njia gani na muda gani? Kiini cha mawaaikiano yao ni kuhusu nin? Haya ufanye na upate ukweli kwa kujirishisha kivingine atakataa na mtabaki tu kulaumiana kuhusu rafiki zako.
 
Back
Top Bottom