NIMPENDENANI
JF-Expert Member
- Nov 2, 2014
- 6,114
- 5,398
Naomba nikulize mkuu na ikiwa nimekukera nisamehe, Ivi inakuwaje unatafuta ushauri bila kujua kosa nikitu gani au unashindwa kumuweka mkeo chini ukawa na serious talk? huyo rafiki kama ndugu kama umempelekea zawadi na amerejesha na kosa hulijui basi tulia umejitahidi kwa kadri ya uwezo wako au mpaka unataka akutemee mate au akupige vibao ndio ujue its OVER? huo uwoga sijui upole wa mkeo anakuvutia majanini kama muoga kweli angekwambia rafiki yako alivyotaka kufanya au alivyofanya na ukajua wapi umesimamia kama kuna kosa amesikia au kuna chochote
sasa akisema rafiki wengine sio wakuwaleta home ndio kamaanisha nini hapo? ana zidi kuku stress ukiwa kama mwanamme mwambie akueleze
ili ujue hapo sasa ndio utajua kama ndoa yako iko ICU au iko mwaisela....