Msaada: Wajuzi wa computer

Msaada: Wajuzi wa computer

nelvine

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2015
Posts
1,114
Reaction score
1,879
Habari Wakuu, Jana Mtoto Aliangusha Pc yangu, baada ya Kuiwasha inaniambia hivi. Je nifanyaje?
IMG_20190601_190149.jpeg
 
Hard disk haionekani hapo. Huenda imeharibika au waya unaounganisha na motherboard umelegea.

Pelekea kwa wataalam waiangalie mkuu.
 
Back
Top Bottom