Msaada wajameni-Hamu ya kutamani Mke wa Mtu....

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Sep 2, 2011
4,873
1,216
Msaada wajameni Mwenzenu NIKIONA mr&Mrs wameongozana hapo hapo naanza kutamani Mrs wa mtu,
Yaani sasa hv nawatamani sana alafu nahisi kupigika.
Msaada wenu jaman
 
Mfuate Lady wa kwanza, baada ya hapo hautawaona tena hao maMr&Mrs wakipita!
 
Endelea kutamani, safi sana. Mjini hapa utakuja kupata unachokitafuta tu. Wala usijali. Unless unawatamani kwa maana nyingine.
 
Msaada wajameni Mwenzenu NIKIONA mr&Mrs wameongozana hapo hapo naanza kutamani Mrs wa mtu,
Yaani sasa hv nawatamani sana alafu nahisi kupigika.
Msaada wenu jaman

kama wewe ni mwanamke afu unapenda wake za watu basi inabidi tukupeleke kwenye maombi...utakua una pepo la kiulesbian:blabla:
 
Zebedayo kwani lile ilani lako kule love connect la kutafuta kimwana halikufanikiwa....
 
Msaada wajameni Mwenzenu NIKIONA mr&Mrs wameongozana hapo hapo naanza kutamani Mrs wa mtu,
Yaani sasa hv nawatamani sana alafu nahisi kupigika.
Msaada wenu jaman

Kuna mtu anaitwa Kongosho .... Atakufaa kukutatulia hizo shida zako..
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom