Msaada waheshimiwa!

Ibrashinto

Senior Member
Jul 3, 2012
123
6
MZUNGUKO WA FEDHA MKOANI BUKOBA UKO VIPI AU TUNAWEZA KUFANANISHA NA JIJI GANA TANZANIA??? Jeh dar es salaam, mbeya, iringa au wapi?
 
Swali gumu sana mkuu lahitaji research, Cha msingi bukoba ni mji unaukua haraka kibiasha, Mbali na biashara za kawaida asilimia kubwa na wakazi wa Bukoba vijiji pamoja na maeneo ya Mleba wanajishughulisha zaidi na biashara ya mazao ya Kilimo *Agrictural products*
 
Bila kujali mzunguko wa Pesa kama unataka kwenda kuwekeza nenda haraka. Sehemu nzuei kuwekeza ni zile ambazo hazijaendelea na mzunguko wake uko- wastani. Hapo utatakiwa ku-link uwekezaji wako na miji yenye mzunguko mkubwa. Utafurahia
 
kwa taarifa nilizozisikia kutoka chini ya kapeti tena radio mbao zinasema kibenki huo mkoa unaonesha kua na mzunguko mkubwa sana wa pesa kuliko mikoa yote Tz.

Mwenye ukweli atujue zaidi jamani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom