Msaada Wadau Wenye Uzoefu Wa Biashara Ya Dry Cleaner.

Msaada Wadau Wenye Uzoefu Wa Biashara Ya Dry Cleaner.

Organic Uncle

Senior Member
Joined
Aug 2, 2013
Posts
167
Reaction score
327
Jamii pendwa habari zenu. Naomba ushauri juu ya hii biashara ya dry cleaner imekuwa kwenye kitabu changu cha kumbukumbu kwa muda mrefu.
Naomba msaada wamawazo gharama zake hasa za mtaji wa vitu vinavyohitajika
Naishi Tanga Mjini
 
Back
Top Bottom