Msaada wadau: Mchumba wangu ana maambukizi ya VVU

Msaada wadau: Mchumba wangu ana maambukizi ya VVU

Tunapambana kupunguza maambukiz ya vvu si kuongeza maambukiz.
 
Kama unampenda kwa dhati,ifanye siri hali yake. Mstiri mwenzio for as long as you can. Kisha uende AMREF
Hapo AMREF mkuu ndio panahusika na mambo gani hapo
 
Hapo AMREF mkuu ndio panahusika na mambo gani hapo
AMREF wametoa ushauri nasaha kwa wenye maambukizi ya vvu na kwa wasio na maambukizi..na pia wanatoa vipimo vya ukimwi. So nendeni,pimeni kisha mtapewa ushauri nasaha. Wapo Redcross-Posta
 
Unamaanisha nini kiongozi
Mkuu ukiwa nae s mtashirikiana tendo pendwa,so lazma uje upate nawe maambukiz km hyotumia kondom, au labda km hna cd4 co receptor ndioo hutopata,pia mnaweza kuzaa mtoto asie na maambukiz,bt lazma uwe tayar kbeba risk ya kuambikizwa,nawe km kijana waweza kua na mchepuko so chain ikaendelea
 
Post zingine zinatoa mdi wa kula tunda kbs, vitu vingine wala haviitaji ushauri kbs.
 
Truth is, hata kusimamisha nisingeweza. Sorry kwa wenye maambukizi, sinyanyapai but ni ngumu kuwa na mahusiano huku unajua she/he's positive.

Ngoma ipo pabaya asee.
 
achana nae, tabia ya kujitoa sana sadaka na kuchukua matatizo ya watu kisa una upendo wa dhati, matokeo yake yanakuja kuwa majuto makubwa sana kwa kuwa watu wana usaliti na ubinafsi sana siku hizi
mpende mwenza wako ila jipende wewe mwenyewe kwanza, ukiona cost ya kuwa na huyo mwenza ni kubwa sana chukua tu uamuzi wa kuachana nae kwa amani
na hawezi kukulaumu kwa kua hayo maambukizi hujampa wewe
Je upande wa ndoa yenye miezi nane na ujauzito juu,mmojawapo awe na maambukizi maamuzi ya jambo hilo pia mdau
 
Huyu bila shaka ni mwanaume wa mkoni huyu, wanauhaba wa mademu hadi kuingilia walioathirika huku wakijua dhahiri kwa kisingizio cha upendo huku analalamika

Uamuzi ni wako..lakin it'll haunt you forever,why?because alikua mstaarab na kukwambia ukweli,angeamua angekuambukiza..theen..kwa utashi wako ukaendelea kua nae pamoja na kua amekwambia ni muathirika,amekuamini na bila shaka you are all she need,,eer leo unasema eti 'umchane'...smh.
 
Huyu bila shaka ni mwanaume wa mkoni huyu, wanauhaba wa mademu hadi kuingilia walioathirika huku wakijua dhahiri kwa kisingizio cha upendo huku analalamika
Mkoni ndio nini mkuu ?
 
We endelea nae tu km unampenda kwa dhati, kwani makaburi yote unayoona inamaana ndo ukimwi iliwaua? Na je ukimwacha, huko wewe unakoenda hawaziki? Hakuna kifo? Je kifo kiko kwenye ukimwi tu?

Sidhani kama unaonge kitu unachokifahamu au unaongea tu coz ni JF hapa
 
Mbona hiyo ni kama malaria tu mkuu? Marekani wameshagundua dawa na nadhani mwezi huu huu itaingia tz, so we kula hiyo "nyape" ki roho safi bana!
 
Mimi ni kijana wa umri wa miaka 25 nimepata mpenzi kwakweli tunapendana sana na tumepanga mengi mno juu ya penzi letu, tatizo linakuja hiyu mwenzangu ni muathirika wa VVU sasa nashindwa kuamua nifanyeje hadi hivi sasa nikisema nimchane nitaonekana kumtenga nakumuonea, jamani ushauri wadau.
ivi nahili linaitaji msaada wakimawazo???!!! acha ujunga wewe
 
Back
Top Bottom