Msaada wadau kwenye uthibitisho tamisemi kuna makosa

lendanai

JF-Expert Member
Oct 19, 2014
365
259
Habari za majukumu ndg zangu,poleni na majukumu pia,naomben mnisaidie hapa ,kuna ndg yangu amechaguliwa chuo cha ualim kasulu,tatzo likaja kwenye kujaza taarifa tukakosea jina LA shule ya msingi,alichaguliwa kupitia tamisemi uthibitisho, msaada wenu ndg zangu
 
Upo sehem gani mkuu.
 
Back
Top Bottom