Jamani naombeni msaada jinsi ya ku unlock simu ya huawei ya tigo ili itumie mitandao yote.
Kama mtu anaweza naimba aniPM au anitumie sms kwenda 0754224104
natanguliza shukurani.
Kashindi
Sasa wewe ndugu yangu unapata shida kuna mtu anasafiri kila siku mpe anaweza pitia china akusaidie ku unlock kama haumjua waulize wadau watakupa jina ,

Haikuwa na umuhimu wowote kuandika hizo pumba....
Hakuna mtu yeyote unaemchekesha zaidi ya kushusha heshima yako na kuonekana kama li
huzingatii
kashindi said:
Jamani naombeni msaada jinsi ya
ku unlock simu ya huawei ya tigo
ili itumie mitandao yote.
Kama mtu anaweza naimba aniPM
au anitumie sms kwenda
0754224104
natanguliza shukurani.
Kashindi
Sasa wewe ndugu yangu unapata shida kuna mtu anasafiri kila siku mpe anaweza pitia china akusaidie ku unlock kama haumjua waulize wadau watakupa jina ,
Jamani naombeni msaada jinsi ya ku unlock simu ya huawei ya tigo ili itumie mitandao yote.
Kama mtu anaweza naimba aniPM au anitumie sms kwenda 0754224104
natanguliza shukurani.
Kashindi
Je, unataka kufungua y300 yako huawei ya mkononi? Kwanza unaweza kutembelea tovuti hii Simpleunlocking.com hapa unaweza kupata kanuni na kufungua simu yako.

Nafikiri tatizo la jamaa,anatafuta simplest way to unlock his phone sasa kusoma maelekezo kwenye hio site ni km una-lengthen process ambayo mwisho wa siku atarudi hapa tena kuomba msaada wa ku-unlock.Kule unalipia kwa Paypal au online payment ambayo ni acceptable.
Kuna jamaa anaitwa Mwl.RCT au ingia HAPA jamaa wako makini nimewahi unlock hiyo huawei within 48 hrs.Hapa utalipa kwa MPESA AU TIGO PESA.