Msaada wa zawadi ya kumnunulia mwanangu

Msaada wa zawadi ya kumnunulia mwanangu

Akaunti za watoto zipo takriban bank zote, ukianza na hiyo laki mbili nmb junior, junior jumbo nk. hatapata taabu ya kusumbuana na HESLB some years in the future. Hiyo itakuwa zawadi mojawapo na haitakamilika bila kumpa upendo na malezi bora. Jambo lingine muhimu saaana kwa afya ya akili yake ni kumpenda mama yake.
 
Mtafutie baiskeli ya magurudumu ma3 aendeshe endeshe
Akifika 4yrs ndo umtafutie ya ukweli, atakuwa anajuwa kudrive at the same time atakuwa fiti sana kimwili na kiakili manake atakuwa ashafanya mazoez sana
 
Mtafutie toy litakalomfanya acheze sana ili azidi kuchangamka
toy zipo nyingi tu

Mkuu the Boss heshima kwako, hilo litoy linanini ambacho kitamfanya alipende na kuenjoy kulichezea? Lkn pia kwa mazingira ninayoishi hayana nishati ya umeme kwani matoy mengi yanahitaji umeme ili yafanye kazi, kwangu hilo nalo ni changamoto nyingine.
 
CJT72-stack-n-learn-alphabet-blocks-d-1.jpg
Hii ndiyo kila kitu aiseee kwa mtoto ambae anakua.
 
Nadhani bike inamfaa

Bike ipo ya Dada yake wa miaka minne kwa hiyo yeye kwa umri alionao hawezi bike kwa sasa, hata hivyo akikua ataikuta ya Dada yake na ataitumia. Asante kwa mchango wako mkuu
 
Mkuu the Boss heshima kwako, hilo litoy linanini ambacho kitamfanya alipende na kuenjoy kulichezea? Lkn pia kwa mazingira ninayoishi hayana nishati ya umeme kwani matoy mengi yanahitaji umeme ili yafanye kazi, kwangu hilo nalo ni changamoto nyingine.

baiskeli ya miguu mitatu
zipo toy nzuri ambazo sio za umeme
viatu vinavyo toa sauti akikanyaga
mpira..
 
Toys za kumfanya atumie akili mfano kutengeneza mnara, kupanga namba

Mkuu HARUFU heshima kwako, nashukuru kwa mchango wako wenye kuonekana, nimeipenda sana na naomba unielekeze nitazipata wapi na kwa gharama kiasi gani?
 
Toys za kumfanya atumie akili mfano kutengeneza mnara, kupanga namba

Mkuu HARUFU heshima kwako, nashukuru kwa mchango wako wenye kuonekana, nimeipenda sana na naomba unielekeze nitazipata wapi na kwa gharama kiasi gani?
 
Mtafutie baiskeli ya magurudumu ma3 aendeshe endeshe
Akifika 4yrs ndo umtafutie ya ukweli, atakuwa anajuwa kudrive at the same time atakuwa fiti sana kimwili na kiakili manake atakuwa ashafanya mazoez sana

Asante sana Mkuu kwa mchango wako nitalifanyia kazi wazo lako.
 
Akaunti za watoto zipo takriban bank zote, ukianza na hiyo laki mbili nmb junior, junior jumbo nk. hatapata taabu ya kusumbuana na HESLB some years in the future. Hiyo itakuwa zawadi mojawapo na haitakamilika bila kumpa upendo na malezi bora. Jambo lingine muhimu saaana kwa afya ya akili yake ni kumpenda mama yake.

Asante MNYAMAKAZI kwa mawazo yako Jengefu ila pamoja na hayo uliyoyasema ninapenda Mwanangu awe mdadisi na makini ktk mambo yake atakayokuwa anayafanya, so zawadi za utoto nazo Zina umhimu wake.
 
Nashukuru kwa mawazo yako na mchango wako mzuri na mhimu ktk malezi ya watoto wetu naamin wengi pia watajifunza kutokana na uzi wangu huu.

Je vitu vyote ulivyovijata najua vingine naweza Pata madukani ila hilo la Picha nzuri naweza ipata wapi?

Je hiyo puppy ni kitu gani na inapatikana wapi na inaweza kugharimu kiasi gani ukirejea budget yangu iko limited
Kwa Dar es salaam napafahamu mwenge kuna maeneo wanauza kazi za sanaa mbalimbali kama picha, "mwanasesere"/midoli, vinyago n.k kuhusu hivyo vingine kama jigsaw puzzle madukani wanauza waweza nunua hata rubic's cube, puppy ni mnyama/kitu kinachoweza kuishi na mwanadamu na kujenga nae affection nisamehe kiswahili sikijui vizuri sana ila mbwa, paka ama hata samaki wa urembo ni puppy wazuri tu.....hasa kama ana samaki wa urembo akiwaangalia mda mrefu atakuwa na " why" nyingi akilini.
 
nunua camera special kwa ajili yake.
uwe unamshoot videos hasa bila yeye kujua... zitunze kama kumbukumbu uje umpe akiwa mtu mzima.
 
Mpende mama ake kwa dhati. Ili asije kuwa upande mmoja.
 
Mkuu HARUFU heshima kwako, nashukuru kwa mchango wako wenye kuonekana, nimeipenda sana na naomba unielekeze nitazipata wapi na kwa gharama kiasi gani?
Kwa nyumbani Tanzania sifahamu, lakini sio mbaya ukijaribu Mlimani City labda unaweza fanikiwa.

Au kama kuna Mdau mwenye data anaweza kutusaidia
 
Dah hiki nitakipata wapi. Kitamfaa mwanangu.
Sister kama upo nje ya nchi hayo makorokoro (Toys) ukienda duka lolote la vitu vya watoto unakutana nayo, kuanzia Prams, Strollers, Walking rings, nk. Muhimu ni kutafuta section ya makorokoro unayoyataka
 
Mangi Hilo ni wazo zuri... Katika umri huo mtoto anakuwa na uwezo mzuri wa kushika kitu na kukireflect ukubwani.
1.mfungulie account
2.muonyeshe kondomu na umwambie matumizi yake....
3.kuwa kuribu na mwanao, usimpeleke Shule za boarding akiwa mdogo....ataolewa.
4.muonyeshe baadhi ya vitu ikiwemo bastola ya watoto. Kama akichagua bastola ni PM tumpeleke Russia by the age of 5. Assassination is very paying job world wide.
5.zingatia niliyokwambia.
 
Back
Top Bottom