Msaada wa WhatsFapp WhatsApp plus

Msaada wa WhatsFapp WhatsApp plus

GB whatsup ina more features zaidi ya whatsup. Mfano kubadili themes tofauti tofauti, kubadili rangi la launch icon yako kwenda rangi tofauti tofauti, kubadili rangi ya notification icon yako, kubadili style ya chat stick, waweza tuma video ya MB 30 badala ya MB 16, waweza tuma picha 90 kwa pamoja badala ya 10, na features nyingine nyingi, hizo ni baadhi tu
Sina uhakika na baadhi ya izo features nyingine ulizotaja hapo za WhatsApp gb. . . naitumiA kwa muda mrefu sasa ila sijaona huo utumaji wa picha 90 mara moja
 
Ndio inauwezo wa kutuma, tena sio 90 tu, Bali zaidi ya 90 kwa mara moja
 
Jamani wandugu msahada.....mm simu yangu inaonyesha imejaa....hivyo whasap ikawa haifanyi kazi inanitaka kuupdate sema kutokana na ukosefu wa nafasi kwenye simu nikachukua microCd ya 2Gb....ila bado inakataa kudownlodiwa nifanyeje?
 
Mkuu mbona inaleta mambo ya kupakua DU BATTERY tena wakati mimi tayari ninayo hiyo DY BATTERY? nifanyeje?
 
Back
Top Bottom