Picha katika website ya mteja wangu zinaload polepole sana. Nimejaribu kutumia watu katika nchi mbalimbali wafanye testing, majority wamesema picha zinaload pole pole, lakini page nyinginezo zisizo na picha zinaload harakaharaka.
Jinsi gani nawezaongeza performance, ili picha ziwe zinaload fast?
Website imetengenezwa kwa .NET(c#) na back-end database ni MS SQL.
Shukrani.
Jinsi gani nawezaongeza performance, ili picha ziwe zinaload fast?
Website imetengenezwa kwa .NET(c#) na back-end database ni MS SQL.
Shukrani.