MSAADA wa VIRUS | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

MSAADA wa VIRUS

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Kachanchabuseta, Aug 4, 2010.

 1. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #1
  Aug 4, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Kuna mtu sitaki kuona picha yake kwenye internat, inawezekana na wewe anakukwaza ukimuona, Najua Virus ni mbaya kwa computer yangu but ningependa huyu jamaa awe virus kila niingiapo kwenye internet. Msaada kama unaweza kutengeneza virus ya picha
   
 2. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #2
  Aug 4, 2010
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 0
  :tape:
   
 3. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #3
  Aug 4, 2010
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 4,867
  Likes Received: 367
  Trophy Points: 180
  Sijaelewa.
   
 4. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #4
  Aug 4, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Mkuu nataka nitengeneze virus ya picha
   
 5. whizkid

  whizkid JF-Expert Member

  #5
  Aug 4, 2010
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 262
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 45
  Masihara haya. Hebu toa description ya huyo virus unataka afanye nini exactly, then weka link ya hiyo picha hapa then nitamuweka huyo virus hapa in a few hours.
   
 6. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #6
  Aug 4, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 26,817
  Likes Received: 2,395
  Trophy Points: 280
  angalizo usije ukaletewa picha zaidi wengine tunatoka mumuhumu
   
 7. whizkid

  whizkid JF-Expert Member

  #7
  Aug 4, 2010
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 262
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 45
  Hehe! Au mbaya zaidi akaleta picha yangu mwenyewe. Huyu jamaa naona kama anatania tu, hawezi akawa serious.
   
 8. T

  Tiger JF-Expert Member

  #8
  Aug 4, 2010
  Joined: Nov 30, 2007
  Messages: 1,744
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Mzee unaonekana uko vizuri sana kwenye maswala ya computer kwa ujumla.
  Hayo maelezo yako yatoa taswira yako!!!!!
   
Loading...