Msaada wa vifaa vya tv cable station



Nashukuru sana mkuu kwa imput yako; swali gumu linakuja palepale; How do i encrypt? ina maana kuna software za maana zitahitajika hapa? Nasubiri input kutoka kwa wabobezi! kuna jamaa humu anaitwa yussufmzee kama sikosei, input yake inahitajika sana hapa! Thanx once again!
 
Huyu yussufumzee sijui aliishia wapi maana siku hizi hasikiki kabisa.Halafu bwana Mtazamaji chuo ulichosoma kwa hapa bongo kinapatikana wapi?????
 

Sio wewe unayefanya encryption . unanunua solution za kufanya hivyo. ukiamua kunuanua deocder na card zake kwa ajili ya wateka wako wauzaji watakupa options mbali mmbali mbali. katika hizo options inaweza kuwepo na package ya encryption na decryption protocols.
 

Yap Zing, now we are talking business! ulipotelea wapi mkuu?
Kwa hvyo nitahitaji kifaa kwenye input cha encrypt na na kwa mpokeaji iwepo decorder ya kudecrypt; unaweza kuwa na mawazo y wapi kupata vifaa hv kwa bei ambayo ni nafuu kiasi na visiwe rahis sana kuchakachua? Na vilevilea je, kunaweza kuwa na software ambayo nitaweka kwenye "server" yangu ambayo itakuwa inagawa hizo "paid" content zangu? Kwa ufafanuzi kidogo; moja katia ya hzo three channels itakuwa dedicated na mambo ya Video On Demand, hzo mbili zinazobaki ni trade secret..hahaa! Na vp kama kuna uwezekano wa kuset kama kituo cha tv lakn matangazo yanayorushwa yawe incrypted ili m2 anayepokea awe ni yule mwenye decoder zangu tu? (without involving the satellite please). NB: Ni ndani ya radius ndogo tu ya kama 7-10km!
 
Modes, mnaweza kutusaidia kuweka STICKY hii kitu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…