Msaada wa Utambuzi Picha ya Rais.........

Msaada wa Utambuzi Picha ya Rais.........

Mwana Mpotevu

Platinum Member
Joined
Sep 7, 2011
Posts
3,295
Reaction score
2,505
Wana JF naomba misaidie. Huyu Mama aliye na mkuu wetu wa nchi kwenye Red Carpet ni nani na ana wadhifa gani?? msaada tafadhali

Rais.jpg
 
Mkuklu wetu bado ana nguvu, tena ni mzuri kwa sura na umbo, ila kizuri hakikosi kasoro, anawaza safari na kuchekacheka tu hata ambapo hapatakiwi kucheka.

aaaahahahaha hebu niambie mkuu kama unamjua huyo mdada hapo kati
 
Duh, wamemechisha? Wamependeza, ndilo pekee naloweza sema.
 
Daaaa sio mchezo na kweli hapa lazima kutakuwa na maswali mengi, huyu dada ni dada gani avae sare nae?
 
Back
Top Bottom