Msaada wa ushauri wa kupata ajira kwa fresh from school. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wa ushauri wa kupata ajira kwa fresh from school.

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by anin-gift, Jul 20, 2012.

 1. a

  anin-gift Senior Member

  #1
  Jul 20, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 165
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Wakuu heshima mbele!
  Mimi ni kijana ambaye nimehitimu elimu ya chuo cbe dodoma. Nimeona nije kuomba ushauri au mbinu mbadala ya kuweza kupata ajira japo sina experience. Wakuu ni muda sasa toka 2010 nimekuwa nikiomba kazi sehemu mbalimbali ila kwa kweli sijabahatika hata kuitwa ktk interview hata 1 ukizingania nimeapply sana hata kumbukumbu sina tena ya idadi. Nina advance diploma ya business administration upper second. Baada ya analysis ya kutosha nimegundua experience ndio inayonicost. Wengi wetu tunajua siku hizi kazi za volunteer na internship nazo zimekuwa ni ishu kama ajira ya kawaida so naombeni ushauri wakuu hasa ukizingatia mtaani ni balaa. Heshima kwenu wakuu ila naombeni tuwe waungwana lugha ya matusi isitumike. Ahsanteni sana.
   
 2. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #2
  Jul 21, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  pole sana mkuu, kama hata kuitwa interview ni issue basi jitathmin upya, kuanzia namna ulivyoandika cv yako, application letter na kaz unazoomba.

  Pia kumbuka kuitwa kwenye interview ni suala moja na kupata kazi ni suala jingine pia, lazima ufiki zaidi ya hapo.
   
 3. MAUBIG

  MAUBIG JF-Expert Member

  #3
  Jul 21, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 972
  Likes Received: 536
  Trophy Points: 180
  nakuunga mkono mkuu kujitathimini ni muhimu sana ukiona wafanya application nyingi bil YA MAFANIKIO, ILA USICHOKE AJIRA NI NGUMU SANA, HATA MIE BINAFSI BADO NAPAMBANA
   
Loading...