msaada wa ushauri tafadhali wanaJF | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

msaada wa ushauri tafadhali wanaJF

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Jeff, Sep 13, 2012.

 1. Jeff

  Jeff JF-Expert Member

  #1
  Sep 13, 2012
  Joined: Sep 26, 2009
  Messages: 1,218
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  kuna nafasi ya kazi nimepata sudan,kwa kuunganishwa na mtu lakini wananiambia natakiwa nimpe huyo mtu laki tano baada ya kupata ticket ya kwenda huko sudan kuanza kazi,na malipo yatakuwa ni US$ 500 kwa mwezi,housing and transport allowance,
  Naomba kujua haya yafuatayo;
  1: je ni kweli hakutakuwa na utapeli hapa hata kama wakishanipa ticket ya ndege kusafiri kwenda huko?
  2: vipi kuhusu gharama za maisha kwa mshahara huo wa US$ 500 kwa mwezi je utatoshelezea mahitaji pamoja kusave?
  3: Kwa wenye information zozote kuhusu usalama kule anaijuze,(usalama ukoje)
  naomba msaada tafadhali, na kama itakuwa kweli nikifanikiwa basi nitarudi hapa JF na kuwapa mchakato na wengine watakaohitaji
  Asanteni
   
Loading...