Restless Hustler
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 4,752
- 18,062
Huyu mwanamke ni kituko kweli. Ana zaidi ya miaka 10 kwenye hii taasisi na amekuwa akipandishwa vyeo lakini kwa ufupi ni kilaza/kiazi na mwenye majivuno yasiyo na maana yoyote.
Anaweza akakupa tasks za field halafu ukienda field anakupigia simu anakuuliza upo wapi mbona haupo ofisini! Ukimuambia nipo field anakuuliza wakati wa kwenda umemuaga nani! Ukimuambia ulini assign tasks mwenyewe anakuambia ndiyo najua ila wakati unatoka ofisini ulipaswa uni consult! Mtu unabaki unajiuliza anamaanisha nini! Matukio ya kukwaza na kushangaza ni mengi.
Nimemvumilia sana, sasa natamani nimjibujibu ili aache kunihangaisha ila nawaza anaweza kuniharibia CV yangu. Naomba ushauri wakuu.