moses Mwanja
JF-Expert Member
- Oct 8, 2016
- 534
- 463
kama mada inavyosema wana jf, nimekuwa nikitoka vipele kila ninapogegeda nikiwa nimevaa kondom nimejaribu kutumia kila aina ya kondom lakin matokeo ni hayo hayo. Wataalam wa afya nawaomba ushaur wenu, au hiki kigegedeo kinataka niache kutumia kondom ili nipate lile gonjwa mwana ukome?