Asante kwa ushauri bosi!!Muuze au badilishana na gunia ya maharagwe
Mmm arudie tu. Bila cheti cha o-level hata VETA on the way hatasoma. Kumbuka Sera mpya elimu ya o level no basic education. Maana take itakuwa ya lazima Kwa kila MTU!Wanabodi chaliii wangu ananiumiza kichwa kinyama, May mwaka huu anatimiza 18 yrs. Uwezo wake kimasomo tangia primary kiukweli ulikuwa mdogo sana hivyo nilimkaririsha mara nyingi nikadhani ange improve uwezo wake kimasomo mwishowe mtihani wa std 7 matokeo yalikuwa mabaya kiukweli,
Hivyo wakati alipomaliza std 7 nilimwanzishia tuition kwenye shule moja ya secondary ambapo mwaka uliofuata walimsajili form one ingawa hakufanya vizuri mtihani wao wa kujiunga na hiyo shule hivyo walimchukua kwa kuwa walikuwa naye kwenye hiyo tuition na pia walishauri wataendelea kuwa naye karibu wamcheki maendeleo yake.
Sasa matokeo ya form two yametoka na kapata flat F masomo yote.
Nimejaribu kukaa naye private kiurafiki sana kutaka kujua ana mpango gani,
Majibu yake hataki tena kukariri darasa bali anataka kujifunza udereva, japo simwoni saaana ana interest na magari.
Na kabla ya hapo nilikuwa namfuatilia sana ili kujua interest yake kama ana fani anayoipenda lakini alionekana yupo yupo tu.
Nilifikiri swala la chuo cha ufundi lakini veta wanachukua only form 4 kwa fani nyingi na hawachukui vichwa bongo lala
Swala la driving school kwa sasa bado hajafikisha 18. Nafikiri ningepata mahali pa shule ya ufundi ya kumfanya awe busy ili asishinde home kuanzia sasa hapo ndo kichwa kinanigonga wajameni.
Kwa yeyote kwenye hili jukwaa mwenye kaushauri tafaadhali aidha kwa ambao walishakumbana na changamoto kama hii yangu.
ndio yale yale ya kupima uwezo wa samaki kwa kutazama ufundi wake wa kukwea mnazi, natumaini umeshampeleka chuo cha ufundi chochote, umuhimu wa elimu upo ila atajielimisha mwenyewe huko mbele ya safari akiona analazimika, unaweza hadi kumshikia fimbo lakini huwezi kuingiza elimu kichwani kwake, mtoto anavyochukulia elimu darasa la kwanza hadi la saba itakupa mwanga wa atachofanya sekondariMkuu ni kweli kuna tatizo la sisi wazazi kudekeza watoto, Ila kwa huyu tangia primary nilikuwa na balance kuwa mkali kwenye masomo pia ukaribu wa kumweleza umuhimu wa shule, sema ndio ana kichwa kizito mbaya, na kwa umri aliofikisha sasa Ukali sana ndio hausaidii kabisa zaidi namtahadharisha majuto baadae Ila ndo akili za kitoto hawaoni future yao itakavyokuwa,. Yaaani shida sana jombaaa, malezi haya!!!
Only in Tanzania mtu akifeli anapelekwa kujifunza ufundi wa magari. Ajali hazitaisha kamwe nakwambia..Mi sikushauri arudie mtihani eti afike form four apate leaving.Hivi unafikiri hiyo leaving itamsaidia nini? Mpeleke kwenye garage akajifunze ufundi wa magari,mpeleke driving school then mfungulie duka la spear za magari hapo pembeni weka gereji.Hapo utakua umemaliza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtoto alisema anataka driving,halafu nikwambie hao watoto ambao ni poor darasani,ni wazuri kwenye practical.Mimi ninaye kama huyo,tena yeye alimaliza darasa la saba hajui kusoma wala kuandika,nikaenda veta wenyewe walikua wanapokea watoto waliomaliza darasa la saba.Nikaongea na mkuu wa shule nikamueleza ukweli wote akakubali nimpeleke.Nikamnunulia madaftari kalamu kila kitu kilichokua kinahitajika.Ukimuona dogo anaenda shule unaweza ukajua ni bonge la msomi kumbe wapi.Huko darasani wakati wa theory akawa anazuga,wakati wa practical ndo anakua busy,akamaliza alisomea carpenter,nikapata transfer kikazi nikahamia mjini,hapa nikakuta biashara ya magari nikampeleka driving.Huu wa 5 yupo barabarani na hajawahi kupata ajali.Only in Tanzania mtu akifeli anapelekwa kujifunza ufundi wa magari. Ajali hazitaisha kamwe nakwambia..
Amuulize mtoto anataka kufanya nini ukute hana interest na mambo hayo atalazimisha aende akaharibu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtoto alisema anataka driving,halafu nikwambie hao watoto ambao ni poor darasani,ni wazuri kwenye practical.Mimi ninaye kama huyo,tena yeye alimaliza darasa la saba hajui kusoma wala kuandika,nikaenda veta wenyewe walikua wanapokea watoto waliomaliza darasa la saba.Nikaongea na mkuu wa shule nikamueleza ukweli wote akakubali nimpeleke.Nikamnunulia madaftari kalamu kila kitu kilichokua kinahitajika.Ukimuona dogo anaenda shule unaweza ukajua ni bonge la msomi kumbe wapi.Huko darasani wakati wa theory akawa anazuga,wakati wa practical ndo anakua busy,akamaliza alisomea carpenter,nikapata transfer kikazi nikahamia mjini,hapa nikakuta biashara ya magari nikampeleka driving.Huu wa 5 yupo barabarani na hajawahi kupata ajali.
Sent using Jamii Forums mobile app