Acha kabisa mkuu, majukumu Baada ya kuleta hizi familia duniani ni mapambano kweli kweli!!Dah Mungu awape heri katika hili.uzazi kazi
Big up sana kwa ushauriMsogeze sogeze amalize tu form four, unaweza kumtafutia tuition afanye mitihani kama private candidate labda mazingira ya shule hayamfai kusoma
Wakati uko nae chungu za kipaji chake, Mungu hakunyimi kila kitu, anaweza kuwa mzuri kwa kazi za mikono kama kupika, kushona au mechanics. Unaweza kumwendeleza huko.
Nimekusoma kiongozi AsanteHayo ndiyo mawazo magumu tunayohitaji sisi kama wazazi. Unaweza shangaa hili tu la kurudia shule anaipenda balaa na hatimaye analeta matokeo chanya hadi unashangaa.ila siyo kukata tamaa.
Nami nafikiria kufanya hivyo, Asante kamandaMtafutie kwa garage makini na yenye vifaa akacheze uku anaweza kuja kua mkali wa mitambo magali badae tafuta zile za maroli na mitambo wabembeleze wamchukue utaniambia nimeona kesi kama iyo dogo sa ivi anapiga hela na anadoma sekondari ya miaka miwili QT kisa kuna mwanga kauona mbele kikwazo shule na ana performance nzur nzur darasan nw wanakua sio awana akili sema mwanga mbele ana aelewi anataka nn ila kikwazo kwake ndo kinatakiwa mana wanakua wazur kwa kutatua kwaio akikutana na kikwazo elimu atapiga kitabu utadhangaa mwenye ila usimpeleke garage bubu
Baada ya kupiga nae stori kiurafiki akaniambia anataka kujifunza udereva japo simuoni sana akiwa na interest na mambo ya magari.Yeye anataka nini? Ana kipaji gani?
Maisha mazuri (mafanikio) hayapatikani darasani tu. Kuna fursa nyingi za kiuchumi. Mm mwenyew nasoma ila nataka kujiajiri kwenye kilimo, sina mpango wa kuajiriwa hata kidogoBaada ya kupiga nae stori kiurafiki akaniambia anataka kujifunza udereva japo simuoni sana akiwa na interest na mambo ya magari.
Usijali karibuNami nafikiria kufanya hivyo, Asante kamanda
Yes na Mimi nawaza hivyoKwa ushauri wangu ni vizuri kwa sasa arudie darasa. Kuna msingi wa elimu ambao anatakiwa kuwa nao ndipo aendane na ndoto zake. Watu wanaosema watanzania tunapenda kuwalazimisha watoto wasome bila kujali wao wanataka nini ni sahihi ila mwandalie japo njia ya yeye kupita kwanza. Hata hao wazungu ndio haswaa wapo makini kwenye hilo. Mara nyingi wao wana elimu sana ila katika kuamua kazi ndo huwa wanapenda kufanya wakipendacho, Hivyo basi kumpa msingi hata huo wa form4 utamusaidia sana kupata huo udereva wake anaohitaji na umweke katika mazingira mazuri. Hapa wewe kama mzaz tumia njia zote na ongea nae mpe faida ya hicho cheti kitakavomsaidia akiwa dereva na jarbu kumwahidi kama wewe pia utahakikisha upo nyuma yake ila baada ya kufanya nini unachotaka wewe mzaz wake, Mweleze matamanio yako kwake yalikuwa kwanza amalize form4 ndipo asome anachotaka.
Kama ukishindwa kwa hilo pia basi hakuna namna mpeleke, japo naelewa tuendako lazima atakuja kukumbuka na kurudi shule japo apate 4 ya mwisho.
Tafuta watu wanaoweza kumshauri vizuri hasa wataalamu wa saikolojia kakaKwanza nashukuru kwa ushauri mkuu.
Ni kweli mkuu nilikuwa natamani sana japo afike f4 potelea mbali hata akifeli atakuwa ameongeza maarifa na ukomavu wa akili plus leaving certificate. Ila ndo hivyo nimejitahidi sana kumweleza umuhimu wa f4 tatizo ni ugumu ninaouona hata akirudia f2 uwezekano wa kuvuka ndio pagumu.
Tunatakaga watu kama nyinyiHakunaga mtoto asiye na akili. Ni changamoto ya mazingira na ufuatiliaji wa mzazi na mtoto kuwa responsible kutambuwa wajibu wake.
Kwanza unatakiwa umsute ajue yeye ni mtoto na tabia ya kuwapangia na kuwaletea wazazi kiburi hiyo ni tabia ya kijinga sana.
Anatakiwa afahamu wewe unamtakia mema tu na hakuna namna atafanikiwa katika maisha kama atakudharau wewe kama mzazi.
Tunagepu kubwa sana siku hizi kati ya wazazi walimu na watoto. Watoto wadogo wanataka kujifanya wameshayajua maisha wanataka kujifanyia maamuzi.
Wewe ndie baba yake, usiogope kumnyoosha mtoto, malezi ya kudekezana waachie wazungu, mjengee mazingira kuwa mambo mengine tmyatawezekana mara tu atakapokubali kusimamia ukucha elimu unayotaka ahitimu.
Usiishi nae kama mtu mzima ndugu, wewe ni mzazi na huyo ni mtoto. Elimu ni kitu cha lazima. Atakuja kukushukuru akiwa mtu mzima wa miaka 30+ huko mbeleni siku zijazo. Wangapi utawasikia wanakwambia daaah baba /mama alikuwa mkali sana ila kumbe alikuwa ananisaidia, maana bila yeye, leo hii mimi nisingekuwa hapa.
Akili huwa zinawarudia wakiwa wakubwa kwa sasa hapo ni shetani ndio katawala kichwa chake. Nakuja inbobo nikuhoji vizuri maana nina uchungu sana na hawa watoto wa miaka hii.
Kwa staili hii kamwe hatofanikiwa! Trust me!! Fimbo hazijawahi kumfanya mtu akawa ana akiliHakunaga mtoto asiye na akili. Ni changamoto ya mazingira na ufuatiliaji wa mzazi na mtoto kuwa responsible kutambuwa wajibu wake.
Kwanza unatakiwa umsute ajue yeye ni mtoto na tabia ya kuwapangia na kuwaletea wazazi kiburi hiyo ni tabia ya kijinga sana.
Anatakiwa afahamu wewe unamtakia mema tu na hakuna namna atafanikiwa katika maisha kama atakudharau wewe kama mzazi.
Tunagepu kubwa sana siku hizi kati ya wazazi walimu na watoto. Watoto wadogo wanataka kujifanya wameshayajua maisha wanataka kujifanyia maamuzi.
Wewe ndie baba yake, usiogope kumnyoosha mtoto, malezi ya kudekezana waachie wazungu, mjengee mazingira kuwa mambo mengine tmyatawezekana mara tu atakapokubali kusimamia ukucha elimu unayotaka ahitimu.
Usiishi nae kama mtu mzima ndugu, wewe ni mzazi na huyo ni mtoto. Elimu ni kitu cha lazima. Atakuja kukushukuru akiwa mtu mzima wa miaka 30+ huko mbeleni siku zijazo. Wangapi utawasikia wanakwambia daaah baba /mama alikuwa mkali sana ila kumbe alikuwa ananisaidia, maana bila yeye, leo hii mimi nisingekuwa hapa.
Akili huwa zinawarudia wakiwa wakubwa kwa sasa hapo ni shetani ndio katawala kichwa chake. Nakuja inbobo nikuhoji vizuri maana nina uchungu sana na hawa watoto wa miaka hii.
Big up sana mkuu nimekusoma Kwa ushauri.Mkuu pole sana huwa inanisikitisha hii kitu. Najua namna gani unaumia kama mzazi; wakati huohuo namuonea huruma kijana anakua ktk mgumu kwa mazingira ya dunia ya sasa. No matter what msogeze hivyo hivyo mpaka kidato cha 4. Kutoka hapo mpeleke kozi za ufundi. Na katika kozi za ufundi asome fani zaidi moja ili kumpa options tofauti na uwanja mpana wa shughuli.
Mkuu ni kweli kuna tatizo la sisi wazazi kudekeza watoto, Ila kwa huyu tangia primary nilikuwa na balance kuwa mkali kwenye masomo pia ukaribu wa kumweleza umuhimu wa shule, sema ndio ana kichwa kizito mbaya, na kwa umri aliofikisha sasa Ukali sana ndio hausaidii kabisa zaidi namtahadharisha majuto baadae Ila ndo akili za kitoto hawaoni future yao itakavyokuwa,. Yaaani shida sana jombaaa, malezi haya!!!Hakunaga mtoto asiye na akili. Ni changamoto ya mazingira na ufuatiliaji wa mzazi na mtoto kuwa responsible kutambuwa wajibu wake.
Kwanza unatakiwa umsute ajue yeye ni mtoto na tabia ya kuwapangia na kuwaletea wazazi kiburi hiyo ni tabia ya kijinga sana.
Anatakiwa afahamu wewe unamtakia mema tu na hakuna namna atafanikiwa katika maisha kama atakudharau wewe kama mzazi.
Tunagepu kubwa sana siku hizi kati ya wazazi walimu na watoto. Watoto wadogo wanataka kujifanya wameshayajua maisha wanataka kujifanyia maamuzi.
Wewe ndie baba yake, usiogope kumnyoosha mtoto, malezi ya kudekezana waachie wazungu, mjengee mazingira kuwa mambo mengine tmyatawezekana mara tu atakapokubali kusimamia ukucha elimu unayotaka ahitimu.
Usiishi nae kama mtu mzima ndugu, wewe ni mzazi na huyo ni mtoto. Elimu ni kitu cha lazima. Atakuja kukushukuru akiwa mtu mzima wa miaka 30+ huko mbeleni siku zijazo. Wangapi utawasikia wanakwambia daaah baba /mama alikuwa mkali sana ila kumbe alikuwa ananisaidia, maana bila yeye, leo hii mimi nisingekuwa hapa.
Akili huwa zinawarudia wakiwa wakubwa kwa sasa hapo ni shetani ndio katawala kichwa chake. Nakuja inbobo nikuhoji vizuri maana nina uchungu sana na hawa watoto wa miaka hii.
Asante nimekusoma mkuuTafuta watu wanaoweza kumshauri vizuri hasa wataalamu wa saikolojia kaka