Mkataze NGONO ZEMBE!!!!!! Ukimwi Unaua, hata siku haijapita toka tuadhimishe siku ya ukimwi duani!!!!! (That comming from me!!!!!!!! You better take it seriously)
kwa hiyo aki take precaution ya kuepuka ngono uzembe itasimama!Mkataze NGONO ZEMBE!!!!!! Ukimwi Unaua, hata siku haijapita toka tuadhimishe siku ya ukimwi duani!!!!! (That comming from me!!!!!!!! You better take it seriously)
kiongozi kuna watu wanachangia kwa kuangalia jina!!yaani ni sawa na mtu amesema gari langu haliwaki,anaambiwa apunguze misele ya mjini!halafu mwingine anashangilia na kicheko juu,ushauri mzuri,kisa jina fulani ndo limetoa mchango huo!!!inasikitisha!unamuona muuza ubuyu anavyojikomba kwa lara1 hapo juu...hovyo kweli
kiongozi kuna watu wanachangia kwa kuangalia jina!!yaani ni sawa na mtu amesema gari langu haliwaki,anaambiwa apunguze misele ya mjini!halafu mwingine anashangilia na kicheko juu,ushauri mzuri,kisa jina fulani ndo limetoa mchango huo!!!inasikitisha!
kaka msaheme!!huyo muuza ubuyu hana maana kabisa.
mkuu tujaribu kumsubiri MziziMkavu apitie huku,ni kati ya maeneo yake haya katka issue hizo!!Habari zenu wana M.M.U.
Leo nilipigiwa simu na mdogo wangu (he is 21yrs) yuko chuo pale ushirika moshi,
amejaribu ku "do" na gf wake mara 2,mara ya kwanza ni three weeks ago na jana akawa hasimamishi,amesema hana msongo wa mawazo,hebu waungwana nisaidieni ushauri wa kumpa..na mimi ndo big bro kwa hiyo lazima nije na suluhisho la maana..
asanteni
Mkuu kalou mpe Pole zangu tu nyingi muulize je ana tabia ya kupiga punyeto?kama anayo basi hiyo pia inachangia la kama hana basi utakuwa kapata mstuka fulani juu ya huyo mpenzi wake inatokea wakati mwengineHabari zenu wana M.M.U.
Leo nilipigiwa simu na mdogo wangu (he is 21yrs) yuko chuo pale ushirika moshi,
amejaribu ku "do" na gf wake mara 2,mara ya kwanza ni three weeks ago na jana akawa hasimamishi,amesema hana msongo wa mawazo,hebu waungwana nisaidieni ushauri wa kumpa..na mimi ndo big bro kwa hiyo lazima nije na suluhisho la maana..
asanteni
Mkuu Zamaulid nimesha mjibu huyu mkuu@kalou.mkuu tujaribu kumsubiri MziziMkavu apitie huku,ni kati ya maeneo yake haya katka issue hizo!!
Mkuu kalou mpe Pole zangu tu nyingi muulize je ana tabia ya kupiga punyeto?kama anayo basi hiyo pia inachangia la kama hana basi utakuwa kapata mstuka fulani juu ya huyo mpenzi wake inatokea wakati mwengine
unakuwa na mpenzi hiyo ndizi ikawa haisimami ingawa sio mara nyingi muulize na kitu kiingine je anapo amka asubuhi
kwenda choo anapo kojoa hiyo ndizi yake huwa inasimama au haisimami? nataka jibu hapo? Na awe anajiandaa
kufanya hilo tendo la mapenzi sio tu kukurupa tu na kufanya hilo tendo bora angelikuja mwenyewe kuna maswali mengi tunahitaji tumuulize au ndio wewe Mkuu unajifanya ni mdogo wako?Samahani kwa kukwambia hivyo.
Mkuu Zamaulid nimesha mjibu huyu mkuu@kalou.
Mkuu.@v anapoamka asubuhi akikojoa ndizi yake inasimama au haisimami?nataka jibu usinipe jibu la mkato tafadhali...ana anapiga punyeto wakati mwingine?kasema hana abnormality yoyote kwenye hilo la mkojo wa asubuhi..