Msaada wa ushauri kwa braza.

muuza ubuyu

JF-Expert Member
Nov 23, 2010
2,910
2,000
Ahahahahaaaaaa, smtime huwa unaakili kweli wewe (@lala 1)!
Big up, ushauri mzuri aache ngono huyo kijana mdogo asome kwanza!
:A S angry:
Mkataze NGONO ZEMBE!!!!!! Ukimwi Unaua, hata siku haijapita toka tuadhimishe siku ya ukimwi duani!!!!! (That comming from me!!!!!!!! You better take it seriously)
 
Zamaulid

JF-Expert Member
May 25, 2009
17,800

kwa hiyo aki take precaution ya kuepuka ngono uzembe itasimama!
 
kalou

JF-Expert Member
Aug 22, 2009
4,934
2,000
Ahahahahaaaaaa, smtime huwa unaakili kweli wewe (@lala 1)!
Big up, ushauri mzuri aache ngono huyo kijana mdogo asome kwanza!
:A S angry:
acha kushobokea watu,hapo lara1 hakuna ushauri wowote aliotoa kusaidia tatizo la muhusika..
 
Zamaulid

JF-Expert Member
May 25, 2009
17,800
2,000
unamuona muuza ubuyu anavyojikomba kwa lara1 hapo juu...hovyo kweli
kiongozi kuna watu wanachangia kwa kuangalia jina!!yaani ni sawa na mtu amesema gari langu haliwaki,anaambiwa apunguze misele ya mjini!halafu mwingine anashangilia na kicheko juu,ushauri mzuri,kisa jina fulani ndo limetoa mchango huo!!!inasikitisha!
 
kalou

JF-Expert Member
Aug 22, 2009
4,934
2,000
kiongozi kuna watu wanachangia kwa kuangalia jina!!yaani ni sawa na mtu amesema gari langu haliwaki,anaambiwa apunguze misele ya mjini!halafu mwingine anashangilia na kicheko juu,ushauri mzuri,kisa jina fulani ndo limetoa mchango huo!!!inasikitisha!
huyo muuza ubuyu hana maana kabisa.
 
Zamaulid

JF-Expert Member
May 25, 2009
17,800
2,000
Habari zenu wana M.M.U.
Leo nilipigiwa simu na mdogo wangu (he is 21yrs) yuko chuo pale ushirika moshi,
amejaribu ku "do" na gf wake mara 2,mara ya kwanza ni three weeks ago na jana akawa hasimamishi,amesema hana msongo wa mawazo,hebu waungwana nisaidieni ushauri wa kumpa..na mimi ndo big bro kwa hiyo lazima nije na suluhisho la maana..
asanteni
mkuu tujaribu kumsubiri MziziMkavu apitie huku,ni kati ya maeneo yake haya katka issue hizo!!
 
Last edited by a moderator:

Ruttashobolwa

JF-Expert Member
Feb 22, 2012
47,231
2,000
Mwambie aache kupanic, asipanie game,mawazo yake ahakikishe yanakuwa pale!

Pia ni vyema kuangalia upande wa pili kwa mwanamke ikiwemo usafi!
 
MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
40,478
2,000
Habari zenu wana M.M.U.
Leo nilipigiwa simu na mdogo wangu (he is 21yrs) yuko chuo pale ushirika moshi,
amejaribu ku "do" na gf wake mara 2,mara ya kwanza ni three weeks ago na jana akawa hasimamishi,amesema hana msongo wa mawazo,hebu waungwana nisaidieni ushauri wa kumpa..na mimi ndo big bro kwa hiyo lazima nije na suluhisho la maana..
asanteni
Mkuu kalou mpe Pole zangu tu nyingi muulize je ana tabia ya kupiga punyeto?kama anayo basi hiyo pia inachangia la kama hana basi utakuwa kapata mstuka fulani juu ya huyo mpenzi wake inatokea wakati mwengine

unakuwa na mpenzi hiyo ndizi ikawa haisimami ingawa sio mara nyingi muulize na kitu kiingine je anapo amka asubuhi

kwenda choo anapo kojoa hiyo ndizi yake huwa inasimama au haisimami? nataka jibu hapo? Na awe anajiandaa

kufanya hilo tendo la mapenzi sio tu kukurupa tu na kufanya hilo tendo bora angelikuja mwenyewe kuna maswali mengi tunahitaji tumuulize au ndio wewe Mkuu unajifanya ni mdogo wako?Samahani kwa kukwambia hivyo.

mkuu tujaribu kumsubiri MziziMkavu apitie huku,ni kati ya maeneo yake haya katka issue hizo!!
Mkuu Zamaulid nimesha mjibu huyu mkuu@kalou.
 
Last edited by a moderator:

kalou

JF-Expert Member
Aug 22, 2009
4,934
2,000
Nitamuuliza hayo maswali na nitatupia hapa majibu,..mkuu mimi sina hilo tatizo ni huyo mdogo..ahsante kwa majibu
 
kalou

JF-Expert Member
Aug 22, 2009
4,934
2,000
Mkuu kalou mpe Pole zangu tu nyingi muulize je ana tabia ya kupiga punyeto?kama anayo basi hiyo pia inachangia la kama hana basi utakuwa kapata mstuka fulani juu ya huyo mpenzi wake inatokea wakati mwengine

unakuwa na mpenzi hiyo ndizi ikawa haisimami ingawa sio mara nyingi muulize na kitu kiingine je anapo amka asubuhi

kwenda choo anapo kojoa hiyo ndizi yake huwa inasimama au haisimami? nataka jibu hapo? Na awe anajiandaa

kufanya hilo tendo la mapenzi sio tu kukurupa tu na kufanya hilo tendo bora angelikuja mwenyewe kuna maswali mengi tunahitaji tumuulize au ndio wewe Mkuu unajifanya ni mdogo wako?Samahani kwa kukwambia hivyo.

Mkuu Zamaulid nimesha mjibu huyu mkuu@kalou.
kasema hana abnormality yoyote kwenye hilo la mkojo wa asubuhi..
 
MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
40,478
2,000
kasema hana abnormality yoyote kwenye hilo la mkojo wa asubuhi..
Mkuu.@v anapoamka asubuhi akikojoa ndizi yake inasimama au haisimami?nataka jibu usinipe jibu la mkato tafadhali...ana anapiga punyeto wakati mwingine?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom