Msaada wa ushauri kuhusu tatizo hili la shuleni kwetu Kwemaramba Sec School, Lushoto Tanga

Hizi ni shule za Government !! Hivi Wizara inajua haya Adhabu matofali 500 !! Wizara ya Elimu mko wapi jamani Waalimu wamekua Miungu ?
Yukina 500 ndo adhabu ndogo na majengo ya shule yanajengwa kwa mtindo huo wa nguvu za wanafunzi...... Sijuh wizara inafikishiwajwe hii
 
Polen vijana kwa changamoto
Nimesoma hapo o level miaka saba iliyopita.kwasasa sina uzoefu napo
Ila niwatie tu nguvu teteen haki zenu lkn mambo yanayofaa kuyaepuka yaepukeni ili mwisho mpate mlicho fuata watu wengine wanasema shulen hakuna haki zote zaid kufuata yale mwalimu anayotaka.
Na walimu wa shulen hapo kama kwel yanayosemwa na vijana ni ya kwel bas jilekebishen maan lengo la elimu nikuleta upendo amani furaha haki ustaarabu kuishi kwa kufuata sheria na kuandaa watu kuleta maendeleo chanya kijamii kiuchumi kiasiasa na kitamaduni
Mwafunzi fuata sheria za shule
Mwalimu fuata sera na miongozo ya elimu inavyotakawa.
 
Shukrani mkubwa na sasahv tupo nyumbani na hajulikani tunarudishwa lini ndugu
 
Hizi ni shule za Government !! Hivi Wizara inajua haya Adhabu matofali 500 !! Wizara ya Elimu mko wapi jamani Waalimu wamekua Miungu ?
SHULE ZA SEMINARY MWANAFUNZI AKIFIKA GETI SIKU YA KWANZA UNAVUA NGUO ZAKO ZOTE ZA MTAANI UNA VAA ZA SHULE BEGI SIJUI LAPTOP SIMU ANA KABIDHIWA MZAZI ANARUDI NAYO LEO NDIO WAONGOZA KWENYE UNIVERSITIES MBALI MBALI SASA UNALETA UBITOZI UTAVUNA ULICHO PANDA
 
Shukrani ndugu
 
Pole sana ndugu yan walimu wetu ndo tatzo lao yan hat ki ckul mishe kama hzo zlkua znatokea cana,bt pole cana mr.
Sasa inacktxha kuonexha hata mkuu wa wlwya nay hna mcaada,
Bt ngja tucklze maon ya watu
But naweza cema muombe MUNGU maana haki ipo ndgu
Kipe Kiswahili Heshima
 
Nimesikiliza upande mmoja kama ni kweli hapo shule hakuna uongozi.
Mkuu wa Mkoa kama na wa Wilaya ameshindwa aende pale aone tatizo na achukue hatua stahiki
 
Kweli ndugu sema sasa hao wakubwa jinsi ya kuwaita na kuwafikishia... Maana afsa elimu wilaya tumeshamfikishia na alisema ataenda huko shule CHA AJABU ZAIDI MZAZI WANGU KAAMBIWA NA HEADMASTER KWAMBA AFSA ELIMU ALISEMA ALITUTIMUA wakati si kweli alituhaidi kwenda huku wiki ileile.
 
humu ndani wewe utaambiwa mengi sana mazuri na mabaya ila sasa turudi kwenye point kwanza mi naona wewe ni mtundu na hautaki kufata sheria tambua hata sokoni kuna sheria kwa hiyo fwata sheria bila shuruti.
pili ni kosa pia kutojua sheria hilo pia ulitambua wewe usijifanye baba huruma.
tatu usije hukawa ni mpiga chabo kwa sababu nyinyi mmemtetea kwa sababu yeye ana material na wewe jitaidi ndo maana wazizi wako walikupeleka huko ushirikiane wa hao wanaojua ili unufaike pia na inapotokea nae kakosea lazima apate adhabu yake pia.
mimi wewe na kusihi soma soma acha kulalamika fuata sheria za shule zimeweka na bodi ya shule na adhabu yake imeanishwa na kama kweli utazifata aisee na kuhakikishia hautopata matatizo shuleni hapo kabisa
Pia JKT utaweza lakini wewe kama hapo tu unalialia kwa vitu vidogo kama tofari hahahaa
Bora umwambie. Alafu huyo mwanafunzi alio sema hajui au amesahau.
Je tangu amesoma o-level shule yao ilikuwa inaruhusu simu shuleni? Pili simu zimezuiliwa na sheria za shule zipo katika joining instruction.sasa inakuwaje hicho ni kibuli. Ningekupiga adhabu Kali mpaka ushangae
 
Wewe fuata sheria za shule, ukitaka kujidai mnyamwezi sisi wanyamwezi zaidi yako. Pigwa kabisa. Mnaotetea ujinga wa huyu dogo ni kwa vile nyie sio waalimu
 
Hatuwezi kutoa maamuzi kwa kusikiliza upande mmoja ni lazima tusikilize pande zote. Nachojua mwalimu hawezi chokoza mwanafunzi. Alafu walimu sasa hivi wengi ni vijana wana mambo yao muda wa kukufuatilia hawana. Lazima mtakuwa mnaukorofi kama yule wa mbeya. USHAURi dogo tii sheria acha kuvutana na walimu. Wenyewe walisha soma elimu sio chini ya degree. Sasa vutana na walimu kwa mambo ya kijinga kijinga kwa PCB. Utapiga zero sasa hivi kuwa makini. Walimu hawana hasara yoyote ya moja kwa moja na zero yako. Ukisha pata zero hiyo ni kesi na wazazi wako. Muda huo mwl atakuwa na mishe zake. Sasa jifanye mwanaharakati utavuna harakati. Ujinga kama huo uje uupeleke chuo kikuu ndio utakula kwako mapemaaa. Fanya yaliyokupeleka.
 
Habar yenu.... Mm ni mwanafunzi wa kidato cha tano mkazi wa dar-es-salaam lakin nimepangiwa huku tanga katika SHULE YA SEKONDARI KWEMARAMBA .,... Nimekutana na changamoto nyingi sana zikiwemo adhabu kali zisizo na huruma kwa wanafunzi... Mfano kufyatua tofari tena zaid ya tofar mia tano, wanafunzi kupigwa makofi na waalimu wakawaida , mwanafunzi kapigwa kofi na headmaster mimi pia nilipigwa kofi na mwalimu wa nidhamu anae itwa geogy furushi pia fimbo zisizo na mpangilio mfano kupigwa shingoni nk.. Hivo basi tumefikisha taarifa hii kwa afsa elim wa wilaya ya Lushoto huko tanga (lakn akaishia tu kusema ataenda shule kusikiliza wanafunzi wote pia akatuambia tuhame shule lakn kimsingi kuhama shule so suruhisho hivo ni sawa na mtu anaekimbia tatizo badala ya kusolve tatzo ) alisema wiki ilio pita angeenda kuongea na wanafunzi lakn hakwenda na tuliacha mawasiliano pia hatukujulishwa habari hii imefikia wapi.hivyo basi mm na mwenzangu tumesitishwa masomo mpka body itakapo kaaa... Na sababu ilikua hii kabla hatuja sitishwa masomo

Kuna wanafunzi walishikwa na simu shuleni... Sasa walivokua assemble kwaajili ya kufuzwa ticha mmoja (academic aitwaye mwl masawe) akaamua kumchagua mmoja wa wanafunzi watazamaji ambao hawakuwa wanahusika na hayo maswala ya kukamatwa na simu akamuuliza.... "adhabu ya mtu alie kamatwa na simu shuleni ni ipi?" kwa bahati mbaya yule mwanafunzi PCB form 5) akawa hafahamu na Akajibu "sikumbuki lakn naomba nikapitie" papo hapo akaitwa mbele kwaaajili ya kupigwa viboko..Basi yule mwanafunzi(form 5 PCB) akaambiwa apige magoti pale assemble akapiga magoti.... Fimbo zikaletwa pale ili achapwe kisa (kasahau hukumu/adhabu ya mwanafunzi aliekamatwa na simu.) yule mwanafunzi akamwambia mwalimu hajajua kosa lake mpaka mwalim amwambie ndo amchape lakn mwalim alishindwa kumwambia kosa na mwalim akabaki tu kusema *amegomewa* ... Pia yule mwalimu akaanza kulalamika.. "mm amenidhalilisha haiwezekani bila hivo naacha kazi " walimu wakakaa kwa haraka kikao wakampa adhabu ya kumsimamisha masomo (mpaka bodi itakapo kaa)

Basi yule mwanafunzi alikua na material mengi hivyo alikua anatusaidia sana katika maswala ya masomo hivyo ikapelekea Wanadarasa (form five PCB) tuka kaa tukapanga tukamwombee msamaha.. Na ikachagua wawakilishi ambapo nilikua ni mimi na mwenzangu , hivyo basi tukaenda kwa kibali cha mwalimu wa darasa na waalimu wenye uongozi wakasema kwamba ulikua ni mgomo na wawakilishi ndio tulikua viongozi wa mgomo .... Wakatumia mgongo huo kwamba ulikua mgomo... Ijumaa wakamaliza vikao j.moss hasubuh wakawa wametupa adhabu hiyo ya kusitishwa masomo mpaka body itakapo kaa na wakati wanatupa hiyo adhabu kuna mwanafunzi alihitaji kuuliza maswali tena pale assemble aitwaye Othuman Juma cha kushangaza akapigwa makofi mbele ya watu wote na kupewa adhabu ya kusitishwa masomo kwa week mbili papo hapo..... Na wanafunzi walio baki wa darasa letu(PCB form 5) wamepatiwa adhabu kali ya kufyatua matofali 500 kila mmoja

Najua kuna waalimu humu na watu mbali mbali je ili tusindelee kupoteza mda nyumbani kwasababu wazazi wameenda akini waalimu wamekataa kabisa kusema siku ya bodi kukaa na headmaster anasema anawasikiliza hao waalimu kwasababu anawaamini pia alihojiwa na mzazi fulani akasema kwamba waalimu wale wanamwambiaga wanaacha kufundisha kama akienda nao tofaut alafu yeye hana elimu ya A-level ndo maana anakubalianaga nao kwa maamuzi yao ... Msaada wa mawazo ndugu au wowote ulio chini ya uwezo
Lama uliyoeleza ni kweli na kama bodi ya shule ina watu makini, wanafunzi wote waliosimamishwa masomo watarudishwa tu shule na hatua za konidhani kuchukuliwa kwa hao walimu. Kama hayo hayatafanyika na bodi ikaamua wanafunzi wafukuzwe, nendeni kwa Mkuu wa Mkoa atawasaidia.
 
Pole sana ndugu yan walimu wetu ndo tatzo lao yan hat ki ckul mishe kama hzo zlkua znatokea cana,bt pole cana mr.
Sasa inacktxha kuonexha hata mkuu wa wlwya nay hna mcaada,
Bt ngja tucklze maon ya watu
But naweza cema muombe MUNGU maana haki ipo ndgu
Hii meseji yako haieleweki.
 
Habar yenu.... Mm ni mwanafunzi wa kidato cha tano mkazi wa dar-es-salaam lakin nimepangiwa huku tanga katika SHULE YA SEKONDARI KWEMARAMBA .,... Nimekutana na changamoto nyingi sana zikiwemo adhabu kali zisizo na huruma kwa wanafunzi... Mfano kufyatua tofari tena zaid ya tofar mia tano, wanafunzi kupigwa makofi na waalimu wakawaida , mwanafunzi kapigwa kofi na headmaster mimi pia nilipigwa kofi na mwalimu wa nidhamu anae itwa geogy furushi pia fimbo zisizo na mpangilio mfano kupigwa shingoni nk.. Hivo basi tumefikisha taarifa hii kwa afsa elim wa wilaya ya Lushoto huko tanga (lakn akaishia tu kusema ataenda shule kusikiliza wanafunzi wote pia akatuambia tuhame shule lakn kimsingi kuhama shule so suruhisho hivo ni sawa na mtu anaekimbia tatizo badala ya kusolve tatzo ) alisema wiki ilio pita angeenda kuongea na wanafunzi lakn hakwenda na tuliacha mawasiliano pia hatukujulishwa habari hii imefikia wapi.hivyo basi mm na mwenzangu tumesitishwa masomo mpka body itakapo kaaa... Na sababu ilikua hii kabla hatuja sitishwa masomo

Kuna wanafunzi walishikwa na simu shuleni... Sasa walivokua assemble kwaajili ya kufuzwa ticha mmoja (academic aitwaye mwl masawe) akaamua kumchagua mmoja wa wanafunzi watazamaji ambao hawakuwa wanahusika na hayo maswala ya kukamatwa na simu akamuuliza.... "adhabu ya mtu alie kamatwa na simu shuleni ni ipi?" kwa bahati mbaya yule mwanafunzi PCB form 5) akawa hafahamu na Akajibu "sikumbuki lakn naomba nikapitie" papo hapo akaitwa mbele kwaaajili ya kupigwa viboko..Basi yule mwanafunzi(form 5 PCB) akaambiwa apige magoti pale assemble akapiga magoti.... Fimbo zikaletwa pale ili achapwe kisa (kasahau hukumu/adhabu ya mwanafunzi aliekamatwa na simu.) yule mwanafunzi akamwambia mwalimu hajajua kosa lake mpaka mwalim amwambie ndo amchape lakn mwalim alishindwa kumwambia kosa na mwalim akabaki tu kusema *amegomewa* ... Pia yule mwalimu akaanza kulalamika.. "mm amenidhalilisha haiwezekani bila hivo naacha kazi " walimu wakakaa kwa haraka kikao wakampa adhabu ya kumsimamisha masomo (mpaka bodi itakapo kaa)

Basi yule mwanafunzi alikua na material mengi hivyo alikua anatusaidia sana katika maswala ya masomo hivyo ikapelekea Wanadarasa (form five PCB) tuka kaa tukapanga tukamwombee msamaha.. Na ikachagua wawakilishi ambapo nilikua ni mimi na mwenzangu , hivyo basi tukaenda kwa kibali cha mwalimu wa darasa na waalimu wenye uongozi wakasema kwamba ulikua ni mgomo na wawakilishi ndio tulikua viongozi wa mgomo .... Wakatumia mgongo huo kwamba ulikua mgomo... Ijumaa wakamaliza vikao j.moss hasubuh wakawa wametupa adhabu hiyo ya kusitishwa masomo mpaka body itakapo kaa na wakati wanatupa hiyo adhabu kuna mwanafunzi alihitaji kuuliza maswali tena pale assemble aitwaye Othuman Juma cha kushangaza akapigwa makofi mbele ya watu wote na kupewa adhabu ya kusitishwa masomo kwa week mbili papo hapo..... Na wanafunzi walio baki wa darasa letu(PCB form 5) wamepatiwa adhabu kali ya kufyatua matofali 500 kila mmoja

Najua kuna waalimu humu na watu mbali mbali je ili tusindelee kupoteza mda nyumbani kwasababu wazazi wameenda akini waalimu wamekataa kabisa kusema siku ya bodi kukaa na headmaster anasema anawasikiliza hao waalimu kwasababu anawaamini pia alihojiwa na mzazi fulani akasema kwamba waalimu wale wanamwambiaga wanaacha kufundisha kama akienda nao tofaut alafu yeye hana elimu ya A-level ndo maana anakubalianaga nao kwa maamuzi yao ... Msaada wa mawazo ndugu au wowote ulio chini ya uwezo
Pole sana Mdogo wangu. Kaza moyo utatoka tu ndo maisha ya shule ila umenikumbusha mbali kwani ata Mimi nlishapitia kama hayo shule ya sekondari Chato, mkoa geita tena nlipewa pending kutoka mwez wa 9 hadi mwez wa5 nlienda kufanya necta namshukuru mungu nlifaulu, naba tuwasiliane ndugu yangu naweza nikakusaidia zaidi 0786140534 au 0766326628 mimi naishi mbagala
 
Ahsante sana ndugu.. Ntakutafuta kesho ndugu yangu
 
Hatuwezi kutoa maamuzi kwa kusikiliza upande mmoja ni lazima tusikilize pande zote. Nachojua mwalimu hawezi chokoza mwanafunzi. Alafu walimu sasa hivi wengi ni vijana wana mambo yao muda wa kukufuatilia hawana. Lazima mtakuwa mnaukorofi kama yule wa mbeya. USHAURi dogo tii sheria acha kuvutana na walimu. Wenyewe walisha soma elimu sio chini ya degree. Sasa vutana na walimu kwa mambo ya kijinga kijinga kwa PCB. Utapiga zero sasa hivi kuwa makini. Walimu hawana hasara yoyote ya moja kwa moja na zero yako. Ukisha pata zero hiyo ni kesi na wazazi wako. Muda huo mwl atakuwa na mishe zake. Sasa jifanye mwanaharakati utavuna harakati. Ujinga kama huo uje uupeleke chuo kikuu ndio utakula kwako mapemaaa. Fanya yaliyokupeleka.
Sawa kaka ntatii nikiruhusiwa kurudi shule
 
Back
Top Bottom