Msaada wa ushauri kuhusu tatizo hili la shuleni kwetu Kwemaramba Sec School, Lushoto Tanga

1.Bodi ya shule ndo yenye mamlaka ya kumsimamisha mwanafunzi masomo si walimu.
2.Tatizo ni la mkuu wa shule kuwa weak kutokana elimu yake.Hapa DEO Secondary awe makini na achunguze utendaji kazi wa mwl.huyu.Miongozo ishasema sifa za kuwa headmaster na kueleza kiwango cha elimu
3.Kijana kuwa makini unapoteuliwa na wanafunzi wenzako kisimamia mambo kama hayo kwanza jua automatically umeingia mgogoro na walimu watakusumbua hasa
Ahsate baba angu nashurukuru... Lakin AFSA ELIMU SEKONDARI NA HEADMASTER NI clasmates walisomaga wote hapo nyuma
 
Poleni Sana. Kama Makamba au Shekifu yupo humu anaouwezo wa kuwasaidia wakiwa kama Wabunge
 
Nikupatie namba za walimu wa huko uongee nao aisee maana wanatuuwa afu cc ni pcb

+255769813329 hizo namba zake ndo wanaobana sana yaani jaribu kuongea nao

Ungenisaidia hata namba ya huyo dogo ingekua vizuri maana sisi tuna wiki mbili sasa bila msaada wowote kabisa na ndo maana nahitaji msaada wenu

ntumie namba ya headmaster mda huu, atakusimulia, pia n gvnmt au private???
 
hivi nyie wanafunzi wa siku hizi mbona wapole Sana nenda shule ya HAI DAY sec ipi boning'ombe uwaulize walimu wanafunzi wa pale wapoje
mm mwalimu akinionea nilikuwa swai kutoa shule na vichaa wangu tunajiandaa vilivyo kwa shambulizi maana tutampiga make na kumwita mwezi njia nzima
 
Ukiambiwa hadi bodi ikae kwa shule za serikali wewe jua huna chako tena hapo, Fanya utaratibu wa kutafuta shule nyingine
 
humu ndani wewe utaambiwa mengi sana mazuri na mabaya ila sasa turudi kwenye point kwanza mi naona wewe ni mtundu na hautaki kufata sheria tambua hata sokoni kuna sheria kwa hiyo fwata sheria bila shuruti.
pili ni kosa pia kutojua sheria hilo pia ulitambua wewe usijifanye baba huruma.
tatu usije hukawa ni mpiga chabo kwa sababu nyinyi mmemtetea kwa sababu yeye ana material na wewe jitaidi ndo maana wazizi wako walikupeleka huko ushirikiane wa hao wanaojua ili unufaike pia na inapotokea nae kakosea lazima apate adhabu yake pia.
mimi wewe na kusihi soma soma acha kulalamika fuata sheria za shule zimeweka na bodi ya shule na adhabu yake imeanishwa na kama kweli utazifata aisee na kuhakikishia hautopata matatizo shuleni hapo kabisa
Pia JKT utaweza lakini wewe kama hapo tu unalialia kwa vitu vidogo kama tofari hahahaa
Shule sio jela sijui nikuite dogo, sisi tuliosoma miaka ya 80---90 tulipata shida mnomno kama hizo, Ila nakumbuka kulikuwa na baraza LA mawaziri LA wanafunzi na bunge letu kulikuwa na wawakilishi vidato vyote, matatizo yote ya wanafunzi tuliyashughulikia ipasavyo na pale inaposhindikana uongozi wa juu wa wanafunzi ukishirikiana na Uongozi wa shule (headmaster & second master) tunalipeleka body ya shule haraka. Huyu kijana wetu anapata shida kwa sababu ndogo tu, UZOEFU, walimu wengi ni vijana wadogo na wanafundisha vijana wenzao, pili weakness za Headmaster na Second wake hawafai kabisa, haingii akilini mwanafunzi apigwe makofi, hivi hawa watoto mnawaandaa kuwa wakatili au majambazi????!!!! Hapo iko shida Waziri mhusika tupia jicho hapo,, haiwezekani hawa Wataalamu wetu wa kesho walelewe kikatili hivi, mnawaangusha WAZAZI NA WALEZI, busara na hekima vitumike haraka sana kinyume na hapo ni hasara kwa taifa.
 
Kwanza kabisa omba uhamisho haraka sana. Hapo hapakufai tena.
Pili huko utakako hamia ukifika tulia acha kuhoji hoji.. Soma umaliza rudi home mahijiano na haki utazikutahome.
## usawa huu siyo wa kusumbua walimu..wana stress za stahiki zao.##
Uwe makina sana.
Sawa kabisa...mwaka wa saba mwalimu hajapandishwa daraja..afu unalazimisha kuhoji na kuja na simu shuleni. Miaka 2 michache sana..tulia soma usije juta.
 
Kweli kabisa lakini HATUKUSHIKWA NA SIMU lakini wametupa adhabu baada ya kwenda kumuombea msamaa mwenzetu ALIE KUWA HAJUHI ADHABU YA HUYO ALIE KAMATWA NA SIMU ALIPO ULIZWA HAPO ASSEBLE(akasema amesahau mpka akapitie ndo akapewa adhabu MPAKA BODI ITAKAPO KAA) ndo tulie enda kumwombea msamaa na sisi tukapewa adhabu hiyo fasta fasta mpaka bidi itakapo kaa......
 
Shule sio jela sijui nikuite dogo, sisi tuliosoma miaka ya 80---90 tulipata shida mnomno kama hizo, Ila nakumbuka kulikuwa na baraza LA mawaziri LA wanafunzi na bunge letu kulikuwa na wawakilishi vidato vyote, matatizo yote ya wanafunzi tuliyashughulikia ipasavyo na pale inaposhindikana uongozi wa juu wa wanafunzi ukishirikiana na Uongozi wa shule (headmaster & second master) tunalipeleka body ya shule haraka. Huyu kijana wetu anapata shida kwa sababu ndogo tu, UZOEFU, walimu wengi ni vijana wadogo na wanafundisha vijana wenzao, pili weakness za Headmaster na Second wake hawafai kabisa, haingii akilini mwanafunzi apigwe makofi, hivi hawa watoto mnawaandaa kuwa wakatili au majambazi????!!!! Hapo iko shida Waziri mhusika tupia jicho hapo,, haiwezekani hawa Wataalamu wetu wa kesho walelewe kikatili hivi, mnawaangusha WAZAZI NA WALEZI, busara na hekima vitumike haraka sana kinyume na hapo ni hasara kwa taifa.
Ahsante mkubwa KUWESE.. Tatizo hao wahusika jinsi ya kupata taharifa hizi.. Na kutusaidia... Shukrani sana umenitia moyo
 
Habar yenu.... Mm ni mwanafunzi wa kidato cha tano mkazi wa dar-es-salaam lakin nimepangiwa huku tanga katika SHULE YA SEKONDARI KWEMARAMBA .,... Nimekutana na changamoto nyingi sana zikiwemo adhabu kali zisizo na huruma kwa wanafunzi... Mfano kufyatua tofari tena zaid ya tofar mia tano, wanafunzi kupigwa makofi na waalimu wakawaida , mwanafunzi kapigwa kofi na headmaster mimi pia nilipigwa kofi na mwalimu wa nidhamu anae itwa geogy furushi pia fimbo zisizo na mpangilio mfano kupigwa shingoni nk.. Hivo basi tumefikisha taarifa hii kwa afsa elim wa wilaya ya Lushoto huko tanga (lakn akaishia tu kusema ataenda shule kusikiliza wanafunzi wote pia akatuambia tuhame shule lakn kimsingi kuhama shule so suruhisho hivo ni sawa na mtu anaekimbia tatizo badala ya kusolve tatzo ) alisema wiki ilio pita angeenda kuongea na wanafunzi lakn hakwenda na tuliacha mawasiliano pia hatukujulishwa habari hii imefikia wapi.hivyo basi mm na mwenzangu tumesitishwa masomo mpka body itakapo kaaa... Na sababu ilikua hii kabla hatuja sitishwa masomo

Kuna wanafunzi walishikwa na simu shuleni... Sasa walivokua assemble kwaajili ya kufuzwa ticha mmoja (academic aitwaye mwl masawe) akaamua kumchagua mmoja wa wanafunzi watazamaji ambao hawakuwa wanahusika na hayo maswala ya kukamatwa na simu akamuuliza.... "adhabu ya mtu alie kamatwa na simu shuleni ni ipi?" kwa bahati mbaya yule mwanafunzi PCB form 5) akawa hafahamu na Akajibu "sikumbuki lakn naomba nikapitie" papo hapo akaitwa mbele kwaaajili ya kupigwa viboko..Basi yule mwanafunzi(form 5 PCB) akaambiwa apige magoti pale assemble akapiga magoti.... Fimbo zikaletwa pale ili achapwe kisa (kasahau hukumu/adhabu ya mwanafunzi aliekamatwa na simu.) yule mwanafunzi akamwambia mwalimu hajajua kosa lake mpaka mwalim amwambie ndo amchape lakn mwalim alishindwa kumwambia kosa na mwalim akabaki tu kusema *amegomewa* ... Pia yule mwalimu akaanza kulalamika.. "mm amenidhalilisha haiwezekani bila hivo naacha kazi " walimu wakakaa kwa haraka kikao wakampa adhabu ya kumsimamisha masomo (mpaka bodi itakapo kaa)

Basi yule mwanafunzi alikua na material mengi hivyo alikua anatusaidia sana katika maswala ya masomo hivyo ikapelekea Wanadarasa (form five PCB) tuka kaa tukapanga tukamwombee msamaha.. Na ikachagua wawakilishi ambapo nilikua ni mimi na mwenzangu , hivyo basi tukaenda kwa kibali cha mwalimu wa darasa na waalimu wenye uongozi wakasema kwamba ulikua ni mgomo na wawakilishi ndio tulikua viongozi wa mgomo .... Wakatumia mgongo huo kwamba ulikua mgomo... Ijumaa wakamaliza vikao j.moss hasubuh wakawa wametupa adhabu hiyo ya kusitishwa masomo mpaka body itakapo kaa na wakati wanatupa hiyo adhabu kuna mwanafunzi alihitaji kuuliza maswali tena pale assemble aitwaye Othuman Juma cha kushangaza akapigwa makofi mbele ya watu wote na kupewa adhabu ya kusitishwa masomo kwa week mbili papo hapo..... Na wanafunzi walio baki wa darasa letu(PCB form 5) wamepatiwa adhabu kali ya kufyatua matofali 500 kila mmoja

Najua kuna waalimu humu na watu mbali mbali je ili tusindelee kupoteza mda nyumbani kwasababu wazazi wameenda akini waalimu wamekataa kabisa kusema siku ya bodi kukaa na headmaster anasema anawasikiliza hao waalimu kwasababu anawaamini pia alihojiwa na mzazi fulani akasema kwamba waalimu wale wanamwambiaga wanaacha kufundisha kama akienda nao tofaut alafu yeye hana elimu ya A-level ndo maana anakubalianaga nao kwa maamuzi yao ... Msaada wa mawazo ndugu au wowote ulio chini ya uwezo
Acha kulalamika hovyo. Shule si lelemama.
 
WEWE MW

WEWE MWENYEWE NI MTOVU WA NIZAMU SIMU UMEPATA WAPI NA INAKUSADIA VIPI KWENYE MASOMO?????????
 
Hizi ni shule za Government !! Hivi Wizara inajua haya Adhabu matofali 500 !! Wizara ya Elimu mko wapi jamani Waalimu wamekua Miungu ?
 
Back
Top Bottom