hekimatele
JF-Expert Member
- May 31, 2011
- 9,889
- 2,805
Fastjetika tu!
Are they reliable?
cc: lukindo, Nairobian, Maboso, njiwa, Patriot, steveachi, RRONDO, Nyaka-One, femalepilot, Gaselle, bobby freetown, nzalendo, Mangimeli, Chungurumbira, mfianchi, Shepherd, Dotto Mnzava, Nyati, Manyerere Jackton, ngoshombasa, musacha, Fideline, raphaelpol, Bavaria, wepson, babukijana, mizarb, kiche, Obama wa Bongo, Jcoder, Kang, G.Man, kitimtim, Joo Wane msaada wenu mazee
Nahitaji msaada wenu wa ushauri.
Nataka kwenda Entebbe (EBB) niko njia panda kati ya FastJest na RwandaAir.
Kuna mdau ananiambia Fastjet hawako reliable wana cancell ndege mda wowote ingawa bei zao ziko fair sana compared to RwandaAir. RwandaAir tatizo lao ni moja tu, wanazungukia Rwanda kuelekea Entebbe na hivyo kuifanya safari iwe ya mda mrefu sana na isitoshe bei zao ziko juu compared to Fastjet by 40%.
Mliotumia zote na wenye experience na hii route naombeni msaada wenu fasta.
cc: femalepilot, Gaselle, bobby freetown, nzalendo, Mangimeli, Chungurumbira, mfianchi, Shepherd, Dotto Mnzava, Nyati, Manyerere Jackton, msaada wenu mazee
Fastjet wana ndege nzuri kuliko Precision,ila shida wahudumu wake hawana busara na ukarimu,kitu kingine ni kuwa hata peremende unanunua wao hudai sababu ni ndege za gharama ndogo,Precision walikuwa juu sema KQ ndio wameiua tena,sasa ni kama vigali vya Arusha/Namanga.Wapo bora kuliko Precision. .........
Mkuu hekimatele mie sina uzoefu na hiyo route, ila kama siku nikiwa na safari ya hiyo route basi kimbilio la kwanza itakuwa fastjet kabla sijaangalia mashirika mengine ya ndege.
Mkuu hekimatele mie sina uzoefu na hiyo route, ila kama siku nikiwa na safari ya hiyo route basi kimbilio la kwanza itakuwa fastjet kabla sijaangalia mashirika mengine ya ndege.
Kamata FJ mkuu kwani chenji utatumia kununua vijizawadi, ila km unataka kuona watoto wazuri na kupata bia / soda basi chukua ile nyingine. FJ unanunua mwenyewe kwa bei ya ulanguzi. Angalizo usije ukachelewa kwani utajuta, uwe Airport angalau lisaa limoja kabla ya kuondoka
Nakushauri uende tu na FastJet........kama wewe ndio unagharamia hizo gharama za safari ila uwahi kukata tiketi ili upate punguzo la bei ya tiketi, kama safari ni tarehe 10, Agust, 2015 wewe kata kuanzia sasa isizidi tarehe 25, 7, 2015.
Kama sio wewe unayelipia, angalie nyingine nzuri zaidi ili ufurahie safari yako.