MSAADA WA USHAURI, DAWA (if any), NA MAELEZO MENGINE KUTOKA KWENU.

Mkiliman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2011
Messages
967
Points
225

Mkiliman

JF-Expert Member
Joined Jun 8, 2011
967 225
Mimi ninao umri wa miaka 29, kijana wa kiume, nimemaliza chuo kikuu, nafanya kazi Dar.

Ninayo matatizo makubwa ya kiafya, husasi suala la uzazi.

Kwanza kabisa, uume wangu ni kama wa mtoto mdogo (i mean ni mdogo), hasa ninapokuwa settled siwazi kufanya mapenzi (nini chanzo cha uume mdogo at my age above said?).

Pili, nimekuwa na marafiki wa kike (lovers) lakini nakuwa mwoga kufanya mapenzi kwasababu ya hali yangu ya uume mdogo (nifanye nini?).

Tatu, ninapokuwa na msichana na ninatamani kufanya naye mapenzi, ghafla najikuta nimeshamwaga manii zote kabla hata ya kuingiza uume mahali kunakotakiwa (pre-ejaculation), sasa ikishatokea hivyo, uume unarudi kuwa mdogo kabisa, na hamu ya kufanya mapenzi/romance ndiyo inaishia hapo (nifanye nini kutibu hali hii?).

Pamoja na hayo yote, nimekwenda hospitali kupima niliambiwa sina tatizo la nguvu za kiume. Pia, uume wangu unasimama regurarly, situmii kilevi aina ya pombe wala kinachotoa moshi, niliwahi kufanya punyeto siku za nyuma, dawa za kienyji nimejaribu.
 
King'asti

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2009
Messages
27,720
Points
2,000

King'asti

JF-Expert Member
Joined Nov 26, 2009
27,720 2,000
Pole sana kaka. Umejaribu kuonana na urologist? Manake kama unaonana na dr wa kawaida sio rahisi aweze kukusaidia. Hiyo ya kuejaculate mapema inawatokea hata wenye uume mkubwa, inatokana na wasiwasi kwa mtu ambae haujamzoea. Ukiendelea kuzoeana na mtu huenda ikapungua kwa sana.
 
Mkiliman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2011
Messages
967
Points
225

Mkiliman

JF-Expert Member
Joined Jun 8, 2011
967 225
Pole sana kaka. Umejaribu kuonana na urologist? Manake kama unaonana na dr wa kawaida sio rahisi aweze kukusaidia. Hiyo ya kuejaculate mapema inawatokea hata wenye uume mkubwa, inatokana na wasiwasi kwa mtu ambae haujamzoea. Ukiendelea kuzoeana na mtu huenda ikapungua kwa sana.
Thanks kwa pole yako. Urologist sijaonana naye.

Vipi wanapatikana hospitali nyingi hapa Dar au ni special sana??
 
King'asti

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2009
Messages
27,720
Points
2,000

King'asti

JF-Expert Member
Joined Nov 26, 2009
27,720 2,000
Wanapatikana wengi tu, almost kila hospitali nadhani. Agha kan yupo kila siku kasoro jumamosi (nusu siku) na jumapili hayupo kabisa. I assure you, sidhani kama una tatizo lolote. Unahitaji reassurance ya dr, na mwanamke ambae ni understanding atakaekupa moyo badala ya kukuvunja moyo. Kila la kheri.

Kuhusu premature ejaculation, unafanya mazoezi ya kegel? Kama bado, yafanye kuwa sehemu ya maisha yako.Lakini usisiskilize hadithi za mitandaoni za mie naenda masaa mawili mfululizo sijui nna inchi 7. Ni porojo tu, na hata kwa.wazoefu ajali za dk 1 huwa.zinawapata pia. Jiamini, kama mwanamke amekupenda, haijalishi size, mbinu mbadala zipo pia.

Thanks kwa pole yako. Urologist sijaonana naye.

Vipi wanapatikana hospitali nyingi hapa Dar au ni special sana??
 
georgeallen

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2011
Messages
3,759
Points
1,225

georgeallen

JF-Expert Member
Joined Jun 3, 2011
3,759 1,225
Assumptions
1. wewe una uzito mkubwa zaidi ya kawaida kwa urefu wako
2. Una High blood pressure
3. una blood sugar higher than normal
4. you are introvet/shy
5. you have high levels of bad cholesterol in your blood
6. unakula chakula kisichokuwa na virutubisho muhimu
na mwisho
7. una stress
Kitu cha kufanya
pata majibu ya swali 1-7 hapo juu kutoka hospital kama MNH, Agha Khan, sanitas etc
 
Mkiliman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2011
Messages
967
Points
225

Mkiliman

JF-Expert Member
Joined Jun 8, 2011
967 225
Assumptions
1. wewe una uzito mkubwa zaidi ya kawaida kwa urefu wako
2. Una High blood pressure
3. una blood sugar higher than normal
4. you are introvet/shy
5. you have high levels of bad cholesterol in your blood
6. unakula chakula kisichokuwa na virutubisho muhimu
na mwisho
7. una stress
Kitu cha kufanya
pata majibu ya swali 1-7 hapo juu kutoka hospital kama MNH, Agha Khan, sanitas etc
Uliyosema 1-7 ni sahihi kabisa. Thanks nitafanyia kazi.
 
Mjanga

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2011
Messages
1,244
Points
1,225

Mjanga

JF-Expert Member
Joined Feb 13, 2011
1,244 1,225
Pamoja na hayo: ana 8. Low Self Esteem (Nafsi tukuka ya chini sana), so unapaswa kujiamini unapokuwa na mwanamke wako. pamoja na hao wataalam unapaswa kuonana na wana Saikolojia kwa ajili ya Ushauri nasaha (hawa wako wengi tu hasa pale UDSM; hachana na wale wa mtaani)!

Assumptions
1. wewe una uzito mkubwa zaidi ya kawaida kwa urefu wako
2. Una High blood pressure
3. una blood sugar higher than normal
4. you are introvet/shy
5. you have high levels of bad cholesterol in your blood
6. unakula chakula kisichokuwa na virutubisho muhimu
na mwisho
7. una stress
Kitu cha kufanya
pata majibu ya swali 1-7 hapo juu kutoka hospital kama MNH, Agha Khan, sanitas etc
 
platozoom

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2012
Messages
8,543
Points
2,000

platozoom

JF-Expert Member
Joined Jan 24, 2012
8,543 2,000
Naona ni tatizo lako hujiamini.Hii ya kuwahi kumwaga huwakumba wengi, ukipunguza hofu na kujiamni kila kitu kitaenda sawa. Najua matatizo ya stori za vijiweni "mimi napiga sita", "naweza kukesha na-do', "nina bonge la u..bo." nk vinachangia sana kutaka mambo makubwa wakati hayo ni maigizo tu
 
MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Messages
40,286
Points
2,000

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2009
40,286 2,000
Mimi ninao umri wa miaka 29, kijana wa kiume, nimemaliza chuo kikuu, nafanya kazi Dar.

Ninayo matatizo makubwa ya kiafya, husasi suala la uzazi.

Kwanza kabisa, uume wangu ni kama wa mtoto mdogo (i mean ni mdogo), hasa ninapokuwa settled siwazi kufanya mapenzi (nini chanzo cha uume mdogo at my age above said?).

Pili, nimekuwa na marafiki wa kike (lovers) lakini nakuwa mwoga kufanya mapenzi kwasababu ya hali yangu ya uume mdogo (nifanye nini?).

Tatu, ninapokuwa na msichana na ninatamani kufanya naye mapenzi, ghafla najikuta nimeshamwaga manii zote kabla hata ya kuingiza uume mahali kunakotakiwa (pre-ejaculation), sasa ikishatokea hivyo, uume unarudi kuwa mdogo kabisa, na hamu ya kufanya mapenzi/romance ndiyo inaishia hapo (nifanye nini kutibu hali hii?).

Pamoja na hayo yote, nimekwenda hospitali kupima niliambiwa sina tatizo la nguvu za kiume. Pia, uume wangu unasimama regurarly, situmii kilevi aina ya pombe wala kinachotoa moshi, (niliwahi kufanya punyeto siku za nyuma), dawa za kienyji nimejaribu.
Mkuu@Mkiliman Hapo nilipo weka Rangi ya blue kwenye sawali lako ndio imekuharibia huo Uume wako na kuifanya hiyo Dhakari yako kukosa nguvu Punyeto. Hiyo Punyeto imechangia sana kuwa na

upungufu wako wa hizo nguvu za kiume na una matatizo ya wasiwasi ukionana na mpenzi unakuwa ni mtu

ambaye usiye jiamini kimapenzi, jaribu punguza woga na jaribu kuwa na mpenzi mmoja na kuwa nae karibu hata siku huwa

hamfanyi mapenzi jaribu mpenzi wako kumfanya awe rafiki wako wa karibu. Huenda hayo matatizo yako

yataondoka ukishindwa huko hospitali kama walivyosema Wenzangu jaribu kwasiliana na mimi kwa njia ya

email Address yangu hii hapa fewgoodman@hotmail.com
 
Mkiliman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2011
Messages
967
Points
225

Mkiliman

JF-Expert Member
Joined Jun 8, 2011
967 225
Mkuu@Mkiliman Hapo nilipo weka Rangi ya blue kwenye sawali lako ndio imekuharibia huo Uume wako na kuifanya hiyo Dhakari yako kukosa nguvu Punyeto. Hiyo Punyeto imechangia sana kuwa na

upungufu wako wa hizo nguvu za kiume na una matatizo ya wasiwasi ukionana na mpenzi unakuwa ni mtu

ambaye usiye jiamini kimapenzi, jaribu punguza woga na jaribu kuwa na mpenzi mmoja na kuwa nae karibu hata siku huwa

hamfanyi mapenzi jaribu mpenzi wako kumfanya awe rafiki wako wa karibu. Huenda hayo matatizo yako

yataondoka ukishindwa huko hospitali kama walivyosema Wenzangu jaribu kwasiliana na mimi kwa njia ya

email Address yangu hii hapa fewgoodman@hotmail.com
MziziMkuu, asante ndugu yangu.

Nitajitahidi kufuata ushauri wako na wanajf wengine.
 
health

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2012
Messages
326
Points
170

health

JF-Expert Member
Joined Aug 21, 2012
326 170
REVIVE
Bidhaa hii imetengenezwa na mimea aina mbili ambayo ni Epim-edium na Gin-sen. Bidhaa hii inawasaidia sana wanaume kuamsha hisia za mapenzi na kudumisha msisimko.
KAZI YA REVIVE

  • Kuongeza libido(ashiki au nyege)
  • Kutibu impotence(mahanisi)
  • Kuongeza muda wa uhai wa mbegu za kiume zinapotoka nje, zinatakiwa ziishi katiak joto 37’’C.
  • Kuweka mwili katika hali ya hisia ya kawaida
  • Kutibu maumivu ya kiuno
  • Kuchelewa kumwaga mapema(kufika kileleni)
  • Kutibu kutanuka kwa kibofu cha mkojo na kuzuia uwezekano wa kupata saratani ya kibofu cha mkojo.
  • Inaimarisha usafirishaji wa damu mwilini
  • Pia inasaidia kwa wenye pressure ya kushuka
  • Kuboresha utendaji wa tendo la ndoa
Mimi sina ushauri zaidi ya uliokwishatolewa na wengine. Ila ukishamaliza hatua zote kama hutafanikiwa uniandikie kwenye email yangu ya ishealthy@hotmail.com uweze kupata hii product ya kuondoa matatizo. Pia napatikana kwa namba 0776491294
 
Forum statistics

Threads 1,390,635
Members 528,220
Posts 34,057,086
Top