Msaada wa usafiri(private car) kutoka Dar to Iringa kesho

Hello Jf guys, i hope mko poa sana. Mi naulizia msaada wa usafiri(private car) kutoka Dar to Iringa kesho asubuhi sana angalau saa 11 na 12 asubuhi. Kama kuna mtu ana private na anaelekea Iringa niko tayar kuchangia mafuta, anichek inbox. Nawasilisha..

Sent from my Infinix X665B using JamiiForums mobile app
Hivi hiyo inbox inalipiwa kiasi gani au wenye haki ya kuitumia ni akina nani, maana huwa naitafuta sana nimsalimie FaizaFoxy siioni
 
Nilishapanda kwenye gari, Mule ndani wote hatujuani(derva alikua akikuta mtu anabeba) Ila kila yule anaamini yeye ndio yuko peke yake wenzake wanajuana, ni mwendo wa kuliana timing kwenye site mirror ya pale kwa dereva, mkigongana macho kila yule anainama..

Unafika uendako unatoka jasho.
😂😀😀
 
Lakini wengine hatuioni au ina watu maalumu humu
Hiyo hapo
Screenshot_20231007-220238.jpg


Sent from my Infinix X665B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom