Msaada wa usafiri(private car) kutoka Dar to Iringa kesho

Ducinaltum

Senior Member
Oct 9, 2022
160
112
Hello Jf guys, i hope mko poa sana. Mi naulizia msaada wa usafiri(private car) kutoka Dar to Iringa kesho asubuhi sana angalau saa 11 na 12 asubuhi. Kama kuna mtu ana private na anaelekea Iringa niko tayar kuchangia mafuta, anichek inbox. Nawasilisha..

Sent from my Infinix X665B using JamiiForums mobile app
 
Wachek hapo
255783416622_status_1b87d25f169b41c39f9e6af0e953b386.jpg
 
Ukinikaba?
Nilishapanda kwenye gari, Mule ndani wote hatujuani(derva alikua akikuta mtu anabeba) Ila kila yule anaamini yeye ndio yuko peke yake wenzake wanajuana, ni mwendo wa kuliana timing kwenye site mirror ya pale kwa dereva, mkigongana macho kila yule anainama..

Unafika uendako unatoka jasho.
 
Nilishapanda kwenye gari, Mule ndani tupo kama 6 hivi na wote hatujuani(derva alikua akikuta mtu anabeba) Ila kila yule anaamini yeye ndio yuko peke yake wenzake wanajuana, ni mwendo wa kuliana timing kwenye site mirror ya pale kwa dereva, mkigongana macho kila yule anainama..

Unafika uendako unatoka jasho.
Hahaha, pole sana mkuu

Sent from my Infinix X665B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom