Msaada wa usafiri(private car) kutoka Dar to Iringa kesho

Private zinawahi kufika mkuu, hazina mambo mengi..

Sent from my Infinix X665B using JamiiForums mobile app
Aisee. Basi we ndio unapokosea hapo.

Mabasi yanafika fasta kuliko private. Private wengi waoga wa trafiki, na wakifika mahala pa chai/lunch wanasimama muda sana ata dakika 20 na vituo kibao.

Nashauri tafuta mabasi ya Mbeya au Kyela au Songea ya saa 11.
 
Nimekusoma sana mkuu..

Back
Top Bottom