Sasa mbona hizo ndogo sana650gb per day hapo unatudanganya
Sasa mbona hizo ndogo sana650gb per day hapo unatudanganya
Naomba muongozo tafadhali, Njoo Inbox 🙏🏽Mkuu labda kama una push kuuza router zako ila hizo box zina kuwa unlocked vizuri kabisa, mimi nikiwa mmoja wa watumiaji wa unlocked X28.
Naomba maelekezo tafadhali 🙏🏽 Karibu InboxFanya utafiti, hizo router watu wanazi-unlock vizuri tu