Hehehe umenichekesha sana na hiyo term "kuuza karanga"
Hiyo course utadeal na mambo ya geography in other words utachezea sana mambo ya survey peke yake. Sasa tukija kama bongo inapesa au la, ni ngumu sana kuelezea kama mtu hajadeal na field hiyo, kama unategemea kuajiriwa kupata kazi kweli itakua mziki. You have to come up with a very good plan kama kweli unataka uchomoke.
Sijui kwa nini lakini umechagua course ambayo huna idea nayo kabisa? Hua tunasoma kugain knowledge lakini that doesn't mean tunasoma kila kitu, chuoni ni sehemu unaenda kusomea kitu roho inapenda.