Msaada wa U.T.I sugu

Msaada wa no zao tafadhali
 
Swali namba tatu ni la muhimu sana lkn umepuuzia kulijibu bado utapata thabu sana ktk hii insu!!
Asante mkuu ila wakati napata hiyo changamoto nilikua mkoa mwingine na huyo mtu alikua mkoa huo sijakutana nae zaidi ya miezi 9 Sasa na nje na hapo hua natumia condom mkuu
 
Inawezekana imekuwa sugu, kutokana na kujitibu kisha kurudi kwa mahusiano yale yale bila yeye kutumia dozi; Kuna dawa za vidonge inaweza kukusaidia, ila jitahidi kujitenga na mahusiano/tendo angalau miezi 3 mpaka upone kabisa.
Msaada Niko tayari ndg
 
OK sawa mkuu, shida iliyopo hapo ni kutokutumia dawa bila kufuata mtiririko ulio sahihi au kutokutoa maelezo yaliyo sahihi kwa daktari au kununua dawa kiholela huko mitaani,

Hiyo doxy, metro na cipro hata unywe gunia lote huwezi kupona, kwa sababu uliaza na dose kubwa ( powercef) kisha ukaludi kwenye dose ya chini.

1. Hakikisha unamtibu na mchumba wako before kuludiana tena, kama wapo wengi tumia kinga tafadhali,

2. Tufanye management ifuatayo ili kuondoa hiyo resistance iliyo tokea kulingana na kutofuata mtiririko sahihi wa matibabu.

Rx
. Tabs Azithromycin 2gm( 4tabs) start
. Injection ceftriaxone I/M 4ml start, follow dilution protocol 1gm powder of ceftriaxone mix with 4ml of H²0 for injection.

NB:
1. Make sure unakula unashiba kisha tumia hiyo dose, na ulete feedback hapa jukwani ☺️☺️☺️.

2. Zingatia dose kama nilivyo andika
 
Bahati mbaya Niko mwanza ndg
Angalia sana. Mara nyingi wanaume hawapati UTI kama hosptal za bongo zinavyodai. Na ukiona unaugua mara kwa mara basi onana na dr na kufanya vipimo kabla hujameza dawa. UTI kwa mwanaume inaweza kuwa ni dalili ya tatizo jingine kubwa zaidi kwenye mwili wako.
 
A

Ubarikiwe mkuu
 
Sawa ntazingatia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…