U. T. I sugu ndo nini??? 🤔 🤔Kwema wakuu nimekua na changamoto ya mkojo unakua unaambatana na hali ya kuchoma choma na pia wakati wa sex inatoka vitu kama uchafu hivi ni tatizo la muda sana nimechoma powerself mara 2 wakati natumia inakata nikimaliza ti dose inajirudia
Pia nimemeza mchanganyiko wa metronidazole,Cipro na doxy na yenyewe nikamaliza dose
Mwenye anafahamu tiba hata ya asili msaada make inafikia Kuna wakati nikipiz inaambatana na damu
1. Nataka kujua we ni Me au ni Ke??Msaada ndg
ukiwa tayari namba ntakutaftia coz kuna babu tunampeleka clinic after every 2 to 3 weeks tumetokapo sunday hali ikitulia na ukawa tayar ntakutaftia nambaSawa mkuu nafanyia kazi Asante Kwa kujali pia je wakati naenda naweza kupata mawasiliano ya huyo Dr mahenge mkuu
Swali namba tatu ni la muhimu sana lkn umepuuzia kulijibu bado utapata thabu sana ktk hii insu!!Mi ni me
Tatizo limeanza mwaka Jana nikachoma sindano za powercef likaacha kama wiki baada ya hapo likajirudia na dalili kubwa hapa ni mkojo unakua kama unachoma hiivi huo uchafu unakuja tu pale ambapo nakua kama najichua ndo unatokea otherwise hautokei
Hapana sina tatizo lolote linaloshusha Kinga ya mwili na hata kuugua kawaida Nina zaidi ya miaka 3 sijawahi kupata hata homa
Mara ya mwisho kabisa nimetumia dose ya dawa za kumeza ilikua ni doxy, metronidazole na Cipro
Ila kabla ya hizi dawa nilichoma Tena full dose ya powercef ko powercef nimechoma mara 2 mfululizo full dose Kwa vipindi tofauti
Kuna dawa ya kienyeji/asili inatobu UTI sugu wanauza watu wanitwa EDEN hapa kahama. Nimewahi kuitumia wakati nilisumbuliwa na tatizo hilo kwa zaidi ya wiki 4, nilitumia ceftrioxone, ciprofloxacin na amoxiclav zote zilishindwaKwema wakuu nimekua na changamoto ya mkojo unakua unaambatana na hali ya kuchoma choma na pia wakati wa sex inatoka vitu kama uchafu hivi ni tatizo la muda sana nimechoma powerself mara 2 wakati natumia inakata nikimaliza ti dose inajirudia
Pia nimemeza mchanganyiko wa metronidazole,Cipro na doxy na yenyewe nikamaliza dose
Mwenye anafahamu tiba hata ya asili msaada make inafikia Kuna wakati nikipiz inaambatana na damu
Asante mkuu ila wakati napata hiyo changamoto nilikua mkoa mwingine na huyo mtu alikua mkoa huo sijakutana nae zaidi ya miezi 9 Sasa na nje na hapo hua natumia condom mkuuSwali namba tatu ni la muhimu sana lkn umepuuzia kulijibu bado utapata thabu sana ktk hii insu!!
OK sawa mkuu, shida iliyopo hapo ni kutokutumia dawa bila kufuata mtiririko ulio sahihi au kutokutoa maelezo yaliyo sahihi kwa daktari au kununua dawa kiholela huko mitaani,Mi ni me
Tatizo limeanza mwaka Jana nikachoma sindano za powercef likaacha kama wiki baada ya hapo likajirudia na dalili kubwa hapa ni mkojo unakua kama unachoma hiivi huo uchafu unakuja tu pale ambapo nakua kama najichua ndo unatokea otherwise hautokei
Hapana sina tatizo lolote linaloshusha Kinga ya mwili na hata kuugua kawaida Nina zaidi ya miaka 3 sijawahi kupata hata homa
Mara ya mwisho kabisa nimetumia dose ya dawa za kumeza ilikua ni doxy, metronidazole na Cipro
Ila kabla ya hizi dawa nilichoma Tena full dose ya powercef ko powercef nimechoma mara 2 mfululizo full dose Kwa vipindi tofauti
Angalia sana. Mara nyingi wanaume hawapati UTI kama hosptal za bongo zinavyodai. Na ukiona unaugua mara kwa mara basi onana na dr na kufanya vipimo kabla hujameza dawa. UTI kwa mwanaume inaweza kuwa ni dalili ya tatizo jingine kubwa zaidi kwenye mwili wako.Bahati mbaya Niko mwanza ndg
Amoxyclav 625, unywe maji mengi mara kwa mara isafishe njiaMsaada Niko tayari ndg