Msaada wa Tv aina ya Lightwave Smart TV, Inaandika hivi...

Ibbytz

Member
Nov 11, 2017
20
3
Imestack ukiiwasha inawaka lakini inaleta maelezo kama haya katika picha haiendi popote wala kufanya chochote na hayo maandish hayatoki.

20200411_214930.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole mzee..
Si unaweza enda kwenye settings?
Hemb jibu hili swali.

Haya ma kampuni mengne ni stress tuu.
Hivi vitu vya electronics vinatakiwa uwe makini sanaa, unaweza useme anayezama mfukoni kuchukua Brand ya kueleweka ni Show off kumbe ana save mambo km haya.
 
huwezi kwenda ktk setting yani maelezo hayo inabaki ivoivo hata ufanye nn haifanyi chochote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ingekua simu ningekushauri load firmware / flash file.

For as long hiyo ni smart tv na inatumia android there must be a way to have it flashed with a clean ROM .

Btw similiki smart tv so am just speculating pia nimeona tv kadhaa zikiwa loaded na firmware mtandaoni.

Kipindi tunasubir wajuzi zaidi, tafadhali tembelea mtandaoni kuangalia jinsi ya kupata firmwarw husika.

Also state your TV model if u need more assistance.

Best of luck.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
inaniandikia ivi na siwezi kufanya lolote hapo kama inavoonekana ktk picha na siwezi fanya lolote hapo siwezi kwenda popoteView attachment 1418079View attachment 1418080

Sent using Jamii Forums mobile app

Baada ya ku google imenipa majibu haya

You should go to Settings > Applications > Manage Applications > Then make sure you look under the ALL tab. It is MEDIA what you are looking for. Clear the data and cache for this one. Then Force-stop it and restart your device

Yaani ni kama vile Tecno mchina akikorofisha basi zima kila kitu halafu anza upya
 
shida ni kuifikia setting mkuu ningeweza ningefanya haienda mahala popote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ingekua simu ningekushauri load firmware / flash file.

For as long hiyo ni smart tv na inatumia android there must be a way to have it flashed with a clean ROM .

Btw similiki smart tv so am just speculating pia nimeona tv kadhaa zikiwa loaded na firmware mtandaoni.

Kipindi tunasubir wajuzi zaidi, tafadhali tembelea mtandaoni kuangalia jinsi ya kupata firmwarw husika.

Also state your TV model if u need more assistance.

Best of luck.

Sent using Jamii Forums mobile app
asante mkuuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo TV inanikumbusha niliwahi kuwa na ka simu ka huawei inaandika "Google play has been stopped" basi hapo huwezi fanya lolote mpaka uirudishe tigo makao wakurekebishie,nilichoka nao sana wachina na vitu vya bei nafuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baada ya ku google imenipa majibu haya

You should go to Settings > Applications > Manage Applications > Then make sure you look under the ALL tab. It is MEDIA what you are looking for. Clear the data and cache for this one. Then Force-stop it and restart your device

Yaani ni kama vile Tecno mchina akikorofisha basi zima kila kitu halafu anza upya

Basi sema hiyo TV ni model gani? lakini kikubwa unge google kwanza naamini ungepata jibu la sivyo mafundi utawapa Pasaka ya bure halafu wakupe na zawadi ya Corona uishie Mlonganzila, jaribu hiyo

s://appuals.com/android-process-media-has-stopped/
 
Back
Top Bottom