Msaada wa training ya self defence

Msaada wa training ya self defence

masai dada

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2013
Posts
16,771
Reaction score
16,669
Manually nishatafuta sana kumpata mtu wa kunifundisha jinsi ya kuweza kujiprotect kwa mfano ukivamiwa.

SABABU ilionifanya niombe huu msaada ni mazingira ninayoishi ya hapa Dar kwani hata atokee mtu hapa anipore simu siwezi kuzuia kumpa maana ikitokea akaweka shinikizo kidogo sina self defence.

BINAFSI nishawahi ibiwa, watu walivunja na kuiba vitu vingi vilivyokua sebuleni ikiwemo laptop, simu, binafsi hata kama ningewasikia nisingeamka maana singeweza kupambana nao.

Pili nishahama nilipokuwa nakaa lakini bado nina hofu; je, mtu akija kuingia pale nitapambanaje nae, sababu naishi mwenyewe bado..

HIVYO BASI kama kuna mtu anaweza akanipa training hii au ana mtu anamjua, tafadhali nipo radhi tuanze mapema kabla ya pasaka.

Asanteni..
 
mimi ni mtaalamu sana wa martial art, nielekeze gheto lako lilipo ntakua nakuja kila siku kukufundisha.
 
Mmhh martial arts ya kwenda gheto kwa masai dada bila shaka itakuwa sexual arts! Masai dada nipm nikuelekeze kwa jamaa yangu. Mm najua but muda sina kutokana na ubize wa kazi zangu!
 
Nunua manati ya mzungu.
Nenda kituo kikubwa cha polisi watakupa maelekezo na procedures zote utakazotakiwa ili kukamilisha umiliki wa kihalali.
just imagine watu 10 wenye mapanga wakikuvamia nyumbani kwako unafikiri martial arts itakusaidia? lakini piga moja tuu juu uone kama hawajatafutana.
 
ok kamanda,ila ndo maana nilimwambia nimfate yeye
 
Nunua manati ya mzungu.
Nenda kituo kikubwa cha polisi watakupa maelekezo na procedures zote utakazotakiwa ili kukamilisha umiliki wa kihalali.
just imagine watu 10 wenye mapanga wakikuvamia nyumbani kwako unafikiri martial arts itakusaidia? lakini piga moja tuu juu uone kama hawajatafutana.
mkuu naonaga wana masharti mengi sana kuimiliki hiyo
 
Nina package moja hivi inaitwa "Combat Survival" ni video series yenye maelekezo ya kujilinda na ipo very comprehensive. Inatumiwa sana na makomando wa Jeshi but hata mtu wa kawaida itakufaa. If u ar interested nitakupa hilo folder unacheck tu kweny tv au computer huku unapractice. Hata ukipata mwalimu bado yenyewe ita-serve a useful purpose 2u...
 
Vibaka wa bongo heri uwe na maji ya pilipili kichaa,uweke kwenye kale chupa cha chilisosi yenye matundu mengi,akikusogelea tu unaibinya machoni kwake.

Halafu hivi kuna hizi short za umeme imekaa kama silaha hivi,huwa naona kwenye movie utakuta polisi wanakamata nayo majambazi au wezi,kibongo haiuzwi?
 
Nunua manati ya mzungu.
Nenda kituo kikubwa cha polisi watakupa maelekezo na procedures zote utakazotakiwa ili kukamilisha umiliki wa kihalali.
just imagine watu 10 wenye mapanga wakikuvamia nyumbani kwako unafikiri martial arts itakusaidia? lakini piga moja tuu juu uone kama hawajatafutana.

Haya mkuu 15 rounds luger! !!!!
Austria made!!!!!
 
Nina package moja hivi inaitwa "Combat Survival" ni video series yenye maelekezo ya kujilinda na ipo very comprehensive. Inatumiwa sana na makomando wa Jeshi but hata mtu wa kawaida itakufaa. If u ar interested nitakupa hilo folder unacheck tu kweny tv au computer huku unapractice. Hata ukipata mwalimu bado yenyewe ita-serve a useful purpose 2u...

charity24 naweza kuipata kwenye mtandao
 
Vibaka wa bongo heri uwe na maji ya pilipili kichaa,uweke kwenye kale chupa cha chilisosi yenye matundu mengi,akikusogelea tu unaibinya machoni kwake.

Halafu hivi kuna hizi short za umeme imekaa kama silaha hivi,huwa naona kwenye movie utakuta polisi wanakamata nayo majambazi au wezi,kibongo haiuzwi?

sijawahi kuiona hiyo na kuipata labda kwenye ,aduka ya jeshi na sijii kama watakuuziia
 
Nina package moja hivi inaitwa "Combat Survival" ni video series yenye maelekezo ya kujilinda na ipo very comprehensive. Inatumiwa sana na makomando wa Jeshi but hata mtu wa kawaida itakufaa. If u ar interested nitakupa hilo folder unacheck tu kweny tv au computer huku unapractice. Hata ukipata mwalimu bado yenyewe ita-serve a useful purpose 2u...

mkuu kwa kumsaidia zaidi dada ungeitupia humu.
 
manually nishatafuta sana kumpata mtu wa kunifundisha jinsi ya kuweza kujiprotect kwa mfano ukivamiwa
SABABU ilionifanya niombe huu msaada ni mazingira ninayoishi ya hapa dar kwani hata atokee mtu hapa anipore simu siwezi kuzuia kumpa maana ikitokea akaweka shinikizo kidogo sina self defence
BINAFSI nishawahi ibiwa watu walivunja na kuiba vitu vingi vilivyokua sebuleni ikiwemo laptop,simu, binafsi hata kama ningewasikia nisingeamka maana singeweza kupambana nao
Pili nishaama nilipokua nakaa lakini bado nina hofu je mtu akija kuingia pale nitapambanaje nae sababu naishi mwenyewe bado
HIVYO BASI kama kuna mtu anaweza akanipa training hii au ana mtu ana mjua tafadhali nipo radhi tuanze mapema kabla ya pasaka
Asanteni

vipi mdada mi ni bodygurd kama unaitaji ulizi nitakulinda popote uendako kama unaniitaji ni pm
 
charity24 naweza kuipata kwenye mtandao

Kwenye mtandao siyo rahisi. Mi nilikuwa nahangaika kama wewe nikafukuafukua sana youtube na kwingineko nikaambulia tu video za kawaida ambazo siyo za kimafunzo. Nikaja kuibahatisha hii kw jamaa yangu mmoja jeshini. Kuitupia hapa ni ngumu manake folder ni kubwa (more than GB).
 
HYU.jpg
 
Back
Top Bottom