obbie Member Joined Feb 29, 2012 Posts 30 Reaction score 4 Oct 13, 2014 #1 Mimi nateseka na tigo pesa jamani kila nikitaka kutumiaa inasema namba ya siri imekosewa nikiweka kwenye simu nyingine unafanya kazi
Mimi nateseka na tigo pesa jamani kila nikitaka kutumiaa inasema namba ya siri imekosewa nikiweka kwenye simu nyingine unafanya kazi