Polee Mkuu Jstrong, ninawasiwasi(nahitaji uweke sawa mambo kadhaa vizuri) kutokana na maelezo yako:
1.Unaposema unapata maumivu "unapolala usiku", je,
ukilala mchana, hakuna hayo maumivu?
2.Katika hospitali tajwa hapo juu, what was their working
diagnosis?..sidhani kama madaktari wanaweza
kukupima vipimo hivyo hapo juu bila kuwa na
"clue"(working diagnosis)
Then, ningependa kujua( kama hutajali),
-Je, maumivu yako sehemu gani ya kiuno(upande(kulia/kushoto na ni mbele au nyuma ya kiuno(upande wa mgongo)?
-Unaweza kuyaelezeaje hayo maumivu, yakoje kama kitu kinakata, kama yanachoma, kama kuna kitu kinavuta, nk)?
-Kuna uhusiano wowote kati ya maumivu(kuongezeka/kupungua) ukiwa katika movement(kutembea, nk?) , je kuna uhusiano wowote kati ya maumivu na mkao fulani(posture)..kusimama, kukaa, kuchuchumaa?
-yapo muda gani, na wakati gani ni zaidi?..kwa muda wa miaka 9 umekuwa ukipata tiba gani?
Kaka nitayatafuta
Pole mkuu.Babu yangu amewahi kuniambia kuwa mafuta ya breki D.O.T 4 yanafaa.Unapaka kiuno chote kisha upumzike.Utapona.
Mimi mwanaume miaka 28 nasumbuliwa sn na maumivu ya kiuno ninapolala usiku,kwa takriban miaka miaka 9,nimekwenda hospital nyingi kama vile General hospital in Dodoma,Muhimbili,Agha khani dom,Mwananyamala hospital, na kufanya vipimo mbalimbali vikiwemo: normal x-ray,lumber x-ray,vpmo vya damu,figo,urine analysis, but nothing was diagnosed.
Lakini naumia sn kwani maumivu hunipata usiku nikiwa nimelala hususan nikiwa nimekula late usiku,nikibanwa na mkojo au haja kubwa, nikiwa nimekula kiasi cha kutosheka,{ili kupunguza maumivu nalazimka kula kidogo sn usiku na mapema sana kabla ya saa moja jioni, i hav got relief but still napata pain}
Pamoja na kujaribu mbinu mbalix2 ili kupunguza maumivu but bado napata mumivu ndugu zangu,
Naombeni msaada wa ushauri,tiba au vyovyote vile kwa mwenye ujuzi.Napata shida sana ndugu zangu.
Mkuu Jstrong, gow was the pain after Surgery?.. bse it was relieved but then became worse baada ya surgey can be Surgical complications(adhesions.etc)..pia ningekyshauri kufika hospitali kufanya vipimo the X-rays, CT Scan, MRI kujua tatizo.. lakini kama ni gap, labda shida ni slipped or protruded disc" lakini mara nyingi tatizo hilo huandamana na kupungua kwa nguvu kiasi fulani kwa miguu, shida katika tendo la ndoa(erectile dysfunction), kufa ngazi kwa sehemu ya chini ya kiuno kwenda chini n.k.je unayo?
Jstrong, nadhani lazima daktari alisema/alishauri juendelea na vipimo kama maumivu yaliendelea,..au mazoezi(physiotherapy) kwa working diagnosis ile uliosema ..so kwa mtazamo wangu kama uki_attend hospital kwa uchunguzi tatizo linaweza kujulikana na kutibika.
NB: Surgical complications can be immediate kama kutoka damu nyingi au maumivu(pain)... kama yako(bse from what i can tell the pain isnt that severe, cant tolerate pain for 9yrs na kama paon ikiwa persistent(MUDA WOTE)...
Kaka naomba uniambie niende hosp gan? Maana hadi muhimbili nimefika,niliambiwa kutokana na gap waliloliona waliniambia nisibebe vitu vizito na nitumie asali mbichi,na dawa zingine but still no changes.
Naomba wanajf kama kuna mtu anayefahamu tiba yamaumivu kiuno anijuze hapa