UDSM Alumni
JF-Expert Member
- Jan 25, 2015
- 2,562
- 1,393
mkuu vipi wewe wamekwambia umechaguliwa course gani??Jaribuni kulogin tena,mimi nimeingia leo this time na nakutana na Congratulation and Print Admission Letter and Joining Instruction.Ni baada ya kuwa toka juzi iliandika Username Blocked.Hivyo ni kweli wameshafanyia kazi second round
Umepata programme gani?mkuu vipi wewe wamekwambia umechaguliwa course gani??
U mean right now iko sawa [emoji50][emoji50]Jaribuni kulogin tena,mimi nimeingia leo this time na nakutana na Congratulation and Print Admission Letter and Joining Instruction.Ni baada ya kuwa toka juzi iliandika Username Blocked.Hivyo ni kweli wameshafanyia kazi second round
Sio kweli mkuu.U mean right now iko sawa [emoji50][emoji50]
Ni kijana wangu ndiyo amepata BSc Forestry na nilimwekea First Choice kwa 2nd round baada ya 1st round kukosa.Umepata programme gani?
program awajanambia labda wapo kutest mitambo badoUmepata programme gani?
Sawaprogram awajanambia labda wapo kutest mitambo bado
EeehNi kijana wangu ndiyo amepata BSc Forestry na nilimwekea First Choice kwa 2nd round baada ya 1st round kukosa.
Kwanini mkuu?Daah hatar
vipi tatizo umelimaliza hata mimi naambiwa username blocked
Ilo bado tatizovipi tatizo umelimaliza hata mimi naambiwa username blocked