Msaada wa tatizo la S7 Edge kutopatikana

Msaada wa tatizo la S7 Edge kutopatikana

Factory reset imegoma pia?

Kwani tatizo lilianzaje?
Umeinunua hivyo hivyo au simu ilikua poa halafu ghafla ikagoma?
Factory reset imegoma
Nilinunua kwa mtu alikuwa haijatumia almost 3 years sasa nikaweka betri nikaupdate vasion nikaanza tumia within one week juzi imeleta shida hii na hiyo one week nimetumia vzry tu bila shida yeyote

Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom