Msaada wa tatizo la S7 Edge kutopatikana

mohame kholani

Senior Member
Joined
Jan 1, 2018
Posts
145
Reaction score
103
Simu yangu ni samsung s7 edge ipo ON ila mtu akinipigia naambiwa sipatikani na hata nikipiga simu haiiti inakata tu na nikicheck balance naambiwa UNABLE TO PROCESS THE REQUEST il mnara unasoma 4g LTE nimebadili line mbili nimeweka katika hii simu bado inaleta tatizo hilo hilo.

Naombeni msaada nimezima simu nimewasha hola lakini naingia social media zote bila tatizo na peruzi vizuri tu.

Screenshot_20201114-215701_Service%20mode%20RIL.jpg
 
Simu yangu ni samsung s7 edge ipo ON ila mtu akinipigia naambiwa sipatikani na hata nikipiga simu haiiti inakata tu na nikicheck balance naambiwa UNABLE TO PROCESS THE REQUEST il mnara unasoma 4g LTE nimebadili line mbili nimeweka katika hii simu bado inaleta tatizo hilo hilo...
Nenda kwenye setting weka 3g only. 4G huwa inagoma voice call kwenye baadhi ya cm hata yangu nikiweka 4g only sipatikani wala siwezi kuuliza salio mpaka niweke 4g auto.
 
Nikiweka hiyo pia inagoma
 
Simu yangu ni samsung s7 edge ipo ON ila mtu akinipigia naambiwa sipatikani na hata nikipiga simu haiiti inakata tu na nikicheck balance naambiwa UNABLE TO PROCESS THE REQUEST il mnara unasoma 4g LTE nimebadili line mbili nimeweka katika hii simu bado inaleta tatizo hilo hilo.
Naombeni msaada nimezima simu nimewasha hola lakini naingia social media zote bila tatizo na peruzi vzry tu.View attachment 1627105
Tatizo dogo hilo mkuu. mimi nina Galaxy s7 na shida hiyo nmeshawahi kuisolve, lakini uwe makini tu na maelekezo ninayoenda kukupatia.

Kwanza kabisa tatizo hilo linasababishwa na maswala ya setting za simu. Unawezakuwa wewe mwenyew umeweka hizo setting bila yakujua au umemwachia mtu nayeye bila yakujua akawa ameweka seting hizo.

Hatua yakwanza kabisa kagua kama kuna namba umeziblock (yaani umezizuia kupata simu zake au sms). Utafanya hivyo kama ifuatavyo.

Nenda kwenye icon unayoitumia kudial namba za simu, ukishafungua juu upande wakulia utaona vidoti vitatu, viguse alafu nenda sehemu ya chaguo la block number. Baada yahapo nenda kwenye chaguo la blocked number (namba zilizozuiliwa) .kama kuna namba zipo hapo basi itabidi uziunblock.

Kama tatizo litakuwa bado lipo ,tumia njia ya pili nayo ni hii. Nenda setting kisha tafuta sehemu ya call setting alaf utaona sehemu ya call barring, angalia call barring kama imekuwa enabled. Kama iko enabled unatakiwa kuidisable, kisha angalia kama tatizo litakuwa bado lipo.

Kama tatizo bado lipo.. Tumia njia ya tatu nayo ni hii. Nenda kwenye setting ya simu yako kisha ufanye kureset setting zote ulizokuwa umeweka kisha ujaribu tena uone kama tatizo litakuwa bado lipo.

Kama tatzo litakuwepo bado ,basi unatakiwa kuireboot simu yako kwa kuhold volume down buton na start buton mpaka utakaposkia simu imevibrate then uiachie,,, baada ya muda wa hata dakika 1 itawaka, hapo itabidi ukague kama tatzo bado lipo.

Kama shida itakuwa bado ipo basi nikushauri uipeleke simu hiyo kwa mafundi wa software (wanaoaminika)waangalie kwa undani zaidi
Screenshot_20201116-035336.jpg
 
Simu yangu ni samsung s7 edge ipo ON ila mtu akinipigia naambiwa sipatikani na hata nikipiga simu haiiti inakata tu na nikicheck balance naambiwa UNABLE TO PROCESS THE REQUEST il mnara unasoma 4g LTE nimebadili line mbili nimeweka katika hii simu bado inaleta tatizo hilo hilo.

Naombeni msaada nimezima simu nimewasha hola lakini naingia social media zote bila tatizo na peruzi vizuri tu.

View attachment 1627105
Mimi nilisolve kwa kufanya factory reset na mambo yako poa hadi sasa
 
Tatizo dogo hilo mkuu. mimi nina Galaxy s7 na shida hiyo nmeshawahi kuisolve, lakini uwe makini tu na maelekezo ninayoenda kukupatia.

Kwanza kabisa tatizo hilo linasababishwa na maswala ya setting za simu. Unawezakuwa wewe mwenyew umeweka hizo setting bila yakujua au umemwachia mtu nayeye bila yakujua akawa ameweka seting hizo.

Hatua yakwanza kabisa kagua kama kuna namba umeziblock (yaani umezizuia kupata simu zake au sms). Utafanya hivyo kama ifuatavyo.

Nenda kwenye icon unayoitumia kudial namba za simu, ukishafungua juu upande wakulia utaona vidoti vitatu, viguse alafu nenda sehemu ya chaguo la block number. Baada yahapo nenda kwenye chaguo la blocked number (namba zilizozuiliwa) .kama kuna namba zipo hapo basi itabidi uziunblock.

Kama tatizo litakuwa bado lipo ,tumia njia ya pili nayo ni hii. Nenda setting kisha tafuta sehemu ya call setting alaf utaona sehemu ya call barring, angalia call barring kama imekuwa enabled. Kama iko enabled unatakiwa kuidisable, kisha angalia kama tatizo litakuwa bado lipo.

Kama tatizo bado lipo.. Tumia njia ya tatu nayo ni hii. Nenda kwenye setting ya simu yako kisha ufanye kureset setting zote ulizokuwa umeweka kisha ujaribu tena uone kama tatizo litakuwa bado lipo.

Kama tatzo litakuwepo bado ,basi unatakiwa kuireboot simu yako kwa kuhold volume down buton na start buton mpaka utakaposkia simu imevibrate then uiachie,,, baada ya muda wa hata dakika 1 itawaka, hapo itabidi ukague kama tatzo bado lipo.

Kama shida itakuwa bado ipo basi nikushauri uipeleke simu hiyo kwa mafundi wa software (wanaoaminika)waangalie kwa undani zaidiView attachment 1627206
Nimejaribu imekataa Kesho nitaenda kutafuta wadau wanieeke software
 
Nenda kwenye connections alafu mobile networks alafu screenshot options zilizopo ulete hapa saivi nikusaidie kabla sijalala
 
Daah wakuu sorry na mimi simu yangu s7 edge ina tatizo la camera failed please nipeni solution.shukrani
 
Factory reset imegoma pia?

Kwani tatizo lilianzaje?
Umeinunua hivyo hivyo au simu ilikua poa halafu ghafla ikagoma?
Factory reset imegoma
Nilinunua kwa mtu ilikuwa vizuri tu nimetumia almost one week ilikuwa vzry sasa juzi hapa ndio imeanza hivyo

Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom