Msaada wa tatizo la constipation tafadhali

Msaada wa tatizo la constipation tafadhali

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,982
Reaction score
104,405
Nina mgonjwa anasumbuliwa na constipation. Nimempa duculax lakini haijasaidia.

Mwenye alternative medicine anisaidie tafadhali.

Maji, mapapai na matunda mbalimbali etc haijasaidia lolote.
 
Nina magonjwa anasumbuliwa na constipation. Nimempa duculax lakini haijasaidia. Mwenye alternative medicine anisaidie tafadhali.
Maji, mapapai na matunda mbalimbali etc haijasaidia lolote
Pole. Kama ni mtu mzima mpe mafuta ya zaituni vijiko 2 vya chai.
ANGALIZO:
PUNGUZENI KULA VYAKULA VYA NGANO NA NAFAKA ZILIZO KOBOLEWA! BADALA YAKE ONGEZENI KULA UNGA WA NAFAKA ZISIZO KOBOLEWA, (DONA)MBOGAMBOGA ,MATUNDA NA UNYWAJI WA MAJI WA KUTOSHA
 
Mpeleke hospital then Kuna dawa ya kienyeji inaitwa Mgagulula ili jina la kihaya ukiipata unamchemshia baada ya hapo atatoa uchafu wote on time.
 
Tengeneza kachumbari bakuli zima ale bila kitu chochote, pia anywe juice ya ukwaju(utengeneze mwenyewe usinunue dukani) ale sana maparachichi.
 
Nina magonjwa anasumbuliwa na constipation. Nimempa duculax lakini haijasaidia. Mwenye alternative medicine anisaidie tafadhali.
Maji, mapapai na matunda mbalimbali etc haijasaidia lolote
Ale maembe,mananasi na vilevile ajitahidi kufanya mozoezi japo kwa nusu saa.
 
Back
Top Bottom