Msaada wa tatizo la constipation tafadhali

1. Tumia Lactulose syrup (3.4mg/ml bottle) 10 Mls after every 12 hours for 7 days.

2.Bisacodyl tablets 5mg tds (I mean after every 8 hours) for 14 days.

3.Kula ndizi mbivu at least 3 kubwa kwa siku mpaka hali itakapokuwa. Nzuri.

4.Kunywa Maji ya kutosha kila siku.

5. Kunywa Juice ya kutengeneza (Ya embe,ndizi au juice yoyote ya matunda yaliyo na Fibres za kutosha.

6.Fanya mazoezi ya viungo.

7.Kumbuka hayo niliyoyasema kuanzia namba 1 mpaka 6.
 
asante sana ubarikiwe sana mtu wa Mungu. Asante kwa kujali. Mgonjwa ameshaanza kufany baadhi kama mazoezi, maji, , fibres matunda tunayo mengi.
 
Utakuta bado anaendelea kutumia vyakula vya ovyo kama vile uagali wa sembe,wali,pilau,chips,vyakula vikavu,vyakula vya kukaanga kwenye mafuta kama vile ndizi,maandazi,nyama,e.t.c halafu unakimbilia huku kuomba msaada!It won't help.Abadili kwanza tabia katika kula.
 
Kiwango Cha maji kwa siku kinategemea na UZITO na kazi afanyazo .. maji Ni chagua sahihi kbl hajarnda kwe dawa za dukan.. Alipata maji_vuguvgu Nusu SAA kabla ya chakula kizito mfn wali, viaz etc.. then 45min baadae kila siku hatopatq shida ya choo
asante tumeanza kumpa machungwa na anatafuna nyma ya ndani. Maji tumemwambia at least 3 litres aday
 
tumefanya na yuko fit now, it worked!
Nashukuru kwa mrejesho.ili Hali hiyo isi mtokee Mara kwa Mara anapaswa KUISHI hivi
1.Apunguze kula vya kula vya ngano.mfano chapati,mkate wa boflo,maandazi na chapati za maji.
2.Ugali wa sembe au unga ulio rowekwa.
KWASABABU Hali hiyo husababishwa kupata BAWASIRI.
Iliawe njema anapaswa kula hivi
1.AONGEZE ulaji wa mboga na matunda
2. CHAKULA Cha unga wa nafaka ZISIZO kobolewa .(DONA)
Anywe maji nusu SAA baada ya mlo au kabla ya mlo
 
1. Tumia Lactulose syrup (3.4mg/ml bottle) 10 Mls after every 12 hours for 7 days.

2.Bisacodyl tablets 5mg tds (I mean after every 8 hours) for 14 days.

3.Kula ndizi mbivu at least 3 kubwa kwa siku mpaka hali itakapokuwa. Nzuri.

4.Kunywa Maji ya kutosha kila siku.

5. Kunywa Juice ya kutengeneza (Ya embe,ndizi au juice yoyote ya matunda yaliyo na Fibres za kutosha.

6.Fanya mazoezi ya viungo.

7.Kumbuka hayo niliyoyasema kuanzia namba 1 mpaka 6.
1. Naomba maelezo kidgo rafiki, ina maana mgonjwa tumbo likisha fungukua, inabidi aendelee kutumia lactulose for seven day? kama ilivyo hapo No.1?
2. Pili sasa mgonjwa atakuwa anatumia dawa zote mbili ie Bisocodilyl na Lactulose kwa wakati mmoja?
asante
 
kwa swali la kwanza jibu ni ndiyo japo lactulose ni kama suppliments lakini dose na dosage (muda wa matumizi) lazima vizingatiwe ili kuepukana na resitance ya dawa ya mwili kwa dawa husika.

Swali na pili jibu ni ndiyo, hiyo syrup inaenda kufanya relief ya mapema kuanzia kwe utumbo mdogo mpaka mkubwa kwa njia ya kawaida,na hiyo bisacodyl tablets inaenda kufanya stimulation ya mucus kuzalishwa ili constipation isitokee.
 
ubarikiwe sana
 
Back
Top Bottom