MAGARI7
JF-Expert Member
- Mar 5, 2016
- 2,401
- 1,298
Mmhh,Kama ni mm hapo sina chaguo kabisaaa yote ni Luxury Car hayo. Hakuna gari ya kazi hapo. Subaru Engine yake ikizingua huwa hairudi Kama Zamani. Pia Spare Zake zipo Juu sanaaa. Na KIBONGO BONGO Hakuna Mafundi Wazuri wa Subaru.
Kaka, mbona mafundi wa subaru wapo wengi tu .?
Na ukizingatia sasa hivi, zimeingia kwa wingi sana
Sent using Jamii Forums mobile app