Msaada wa Subaru Forester au BMW 3 SERIES, X3

ferg

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2015
Messages
1,022
Points
2,000

ferg

JF-Expert Member
Joined Mar 8, 2015
1,022 2,000
Sijui off road unamaanisha nini hasa, ila 3 series haifai kwenye hilo. Iko chini saana na suspension ni sporty. Kwenye Forester na X3, binafsi nitakwenda Forester, model ya kuanzia mwaka 2008. X3 ya kwanza haikuwa nzuri kuvile, ni kama jamaa walikuwa wanajifunzia hapo kuingia kwenye segment ya small SUVs. Ila Forester 2nd and 3rd gen ziko poa.

Ulaji wa mafuta, X3 iko vizuri, kama utachukua ya engine ndogo. Forester iko juu kidogo kwenye mafuta sababu ya AWD.

Kwenye off roading, the Forester is a clear winner hapo.
Wewe jamaa unajua magari Asee, itakuwa ndio ulevi wako. Siku nikizifuma hela Nitakutafuta Asee unipe maushauri
 

KINGSLEE

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2013
Messages
598
Points
1,000

KINGSLEE

JF-Expert Member
Joined Aug 30, 2013
598 1,000
Wakuu polen na majukumu!!

Naomba ushauri wenu ... nichukue gari gani kati ya gari tajwa hapo juu... {subaru forester, Bmw 3 series au x3...
ushauri huo naomba ulenge kwenye
>>> ulaji wa mafuta
>>>gharama za vipuri
>>>uimara wa gari
>>>upatikanaji wa mafundi wa kuaminika

NB: MATUMIZI YA GARI YATAKUA NI OFF-ROAD KIDOGO

ASANTENI SANA!!
Kuna kitu kinaitwa Fortunate yan Subaru ya 2008, Bmw X3 ni Mrembo sana kwenye Rough Road
 

PlanckScale

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2008
Messages
530
Points
225

PlanckScale

JF-Expert Member
Joined Sep 28, 2008
530 225
Kwa mtazamo wangu, X3 ina hadhi zaidi ya Subaru Forester.
Mimi nina X3 kwa miaka mitatu sasa. Haija nipa matatizo, ila mtungi mdogo wa radiator ulipasuka na kuvujisha. Zaidi ya hivyo ni kubadilisha brake pads na oil.

Subaru ina turbo, I guess ni nzuri kama unataka speed, ingawa X3 speed sio mbaya kama ukiweka gear ys sport--tiptronic.

Pia inategemea umri wako. Kama uko chini ya 45, naona Subaru itafaa. Zaidi ya 45 chukua X3 utajenga heshima :)

Huo ni muono wangu tu.
 

Forum statistics

Threads 1,357,232
Members 519,019
Posts 33,144,092
Top